rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Katika makabila yote ya mkoa wa Mara waikizu ni hatari kwani mnaweza kugombana leo akajifanya yameisha baada ya miaka mitano anakuja kulipiza kisasi na ni kwa kila kiumbe anachokikuta kama unafuga paka au ng'ombe wote watacharazwa mapanga