Haahaahaaaaaahh....Wawili kula nyas hakutufanyi tuache kazi yetu ya kihistoria ya kuiba ng'ombe.
Nawasemea wakurya tu
Nishachukua na pepsi barid tayari. Ila nimelipa mimi we nirudishie gharama tuHaahaahaaaaaahh....
Em pitia hapo kiabakari chukua ndizi naja kulipa mwetu
Heheheeeh etiiiiii?
Genta, Vip id kongwe imekula ban au ndio kuelekea kumng'oa jimbon Mzee Mkono N EWatu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.
ITV Tanzania
Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Wewe toka lini ukawa msemaji wetu sisi wakuria nduguWawili kula nyas hakutufanyi tuache kazi yetu ya kihistoria ya kuiba ng'ombe.
Nawasemea wakurya tu
Mmechelewa kuja kusema. Kwanza inabidi munipe na zawadi ama malipo kwa kuwasemeaWewe toka lini ukawa msemaji wetu sisi wakuria ndugu
Wanawazidi chattle?Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.
ITV Tanzania
Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Ila wajita wanaongoza kwa ushirikina kwa mkoa wa MaraWatu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.
ITV Tanzania
Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!
Wajaluo ni nomaIla wajita wanaongoza kwa ushirikina kwa mkoa wa Mara
Kenj boy niaje?Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili.
ITV Tanzania
Wewe eneo limetoa Raia wa nchi ambaye amekingwa na Vitu vingi tu dhidi ya Maadui halafu Wewe leo unataka Kuwachezea hivi hovyo utaumia!