William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.