Wachezi wa simba wanaitaji kupumzishwa kabla ya gemu inayofata baada ya kuchoshwa na mazoezi ya ovyo ya Cadena na Matola

Nilivyoona CHE MALONE kwanza kati, nikajua hamna kocha hapo
 
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.

Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.

Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Tatizo la simba ni uongozi tu.Kwa sasa ili uondoe mzizi wa fitna ni lazima ufukuze viongozi matapeli tapeli
 
Ukiona picha bodi ya Simba imekakaa kikao utasema hao jamaa wako "serious" lakini wapi na hapo unaambiwai Magori na Kaduguda wana elimu ya ukocha hata kama sio kwa ngazi za juu. Hivi wajumbe wote wale hakuna mwenye uelewa kuwa Cadena pamoja na vyeti vyake vizuri lakini sio kocha mzuri sio tu kwa timu au hata kwa makipa. Alikuwa Azam makipa walikuwa ovyo kabisa. ila Simba wakambeba jumla kwa kupenda vitu rahisi rahisi Yule kipa Ayoub anaemng'angánia akae golini mimi nikiangalia makosa yake ya kiufundi ni mengi sana achilia mbali kuwa hanyumbuliki. Nikitoa mapungufu ya Ayoub hapa haki ya nani kila timu itakuwa inavuna goli kuanzia mbili na kuendela na Simba ishukuru Morison hayupo kwenye ilgi yetu tena kwani angejipigia tu. Na ipo siku inakuja sio mbali Simba itakutana na mpinzani ambaye wana mtaalamu wa kujua kusoma mchezo akimsoma Ayoub vizuri nadhani siku hiyo zile tano za Yanga zitakuwa chache.

Timu nzima haina stamina na pumzi. Kiama alichoacha Hategekimana kitawasumbua sana Simba mpaka mapumziko ya desemba kwani huwezi kutengeneza stamina katikati ya mashindano. Lakini mapungufu ya stamina yangeweza tu kupunguzwa kwa kuwatumia vijana zaidi badala ya kuwatumia wachezaji wenye umri mkubwa. Ni mwendawazimu tu anayeweza kutegemea mabadilikio kwa kurudia kosa lile lile kila wakati halafu ategemee kupata matokeo tofauti. Kosa alilokuwa analifanya Robetino la kuwatumia zaidi wachezaji wenye umri mkubwa na kuacha kuwatumia vijana ndio lile limerudiwa na Cadena na Matola.

Kama kuna kitu kinanishangaza sana basi ni namna ambavyo Simba haijui tatizo lao kubwa wawapo uwanjani timu inazidiwa halafu hawajui nini hutokea. Kiufundi mpira sasa hivi duniani kote umebadilika sana nguvu imeongezeka na ufundi umepewa nafasi ndogo sana. Simba imebaki inategemea ufundi binafsi wa wachezaji wenye umri mkubwa badala ya kuwatumia vijana wadogo wenye nguvu hata kama wana ufundi mdogo. Matokeo yake Simba inacheza vizuri sana dakika 45 mpaka 60 za mwanzo baada ya hapo wanaanza kutafutana kwa kuwa wazee wanakata moto. Mfano mdogo tu mechi ya Yanga na hata hii ya juzi na Asec Simba walitafutana kipindi cha pili. Na Simba inazidi kupotea kwa kubaki inategemea Saidoo na Boko wawape matokeo wakati kwenye timu una vijana wenye uwezo wa kukimbia sehemu kubwa ya uwanja kama Chilunda na Mohamed Musa.

Swali la kizushi hivi Saidoo naye ni shareholder Simba au timu ya baba yake? Sio kwa makosa yale jamani halafu anamaliza dakika 80 kama sio 90 zote uwanjani kila mechi. Mimi huwa namuona anacheza dakika 15 vizuri baada ya hapo namuona anatoka tu jasho jingi na kuanguka anguka. Jamaa anaikaba timu halafu kaliloga la benchi la ufundi halimuoni kabisa.

Ni mtizamo tu.
 
Umeandika Mengi tunayokubaliana nitayajibu machache tunayotofautiana.

1.Cadena hakufukuzwa Azam, Cadena Amechukuliwa na Simba. Kwamba Cadena ni kocha mbaya wa Makipa? Anashusha Viwango vya Makipa? Hii ni Pumba ambayo mtu inapaswa ujitoe akili Ili kuongea Kitu kama Hichi. Mkiniambia kashusha kiwango cha kipa Gani tutakubaliana.

2. Ayoub anaponzwa na Rangi yake, sio kipa mzuri kama Manula pia sio mbovu kama Ally Salim.
3.Ntibazonkinza ni mzee hafai kucheza Simba, lakini kwa wachezaji waliopo Simba hakuna wa kumuweka Benchi. Ni chance creator pekee aliyepo Simba. Game ya Juzi Chance za maana zilikuwa tatu nazozikumbuka. 2 akitengeneza yeye.
 
Simba ina wachezaji wengi waliokaa nao mda mrefu na kucheza michezo mingi,hawa wachezaji ni heri waende kutafuta changamoto zingine.

Manula Simba kakaa zaidi ya miaka 7
Bocco zaidi ya miaka 7
Kapombe zaidi ya miaka 7
Shabalala zaidi ya miaka 7
Chama zaidi ya miaka 5
Kennedy huyu pamoja na kukaa benchi si chini ya miaka 5
Saido- umri
Mzamiru si chini ya miaka 5

Wapo kibao wamekaa Simba na hawafanyiwi rotation wengine,Simba ya sasa hawakuzi wachezaji kisoka wanaenda kukaa tu benchi hasa wa ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
Chiniya kocha mpya tunaiona simba nyingine kabisa. Tatizo la simba sio kikosi bali uongozi na makocha wa ovyo wa apo awali
 
Back
Top Bottom