William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
KkmkHuyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
nilishamuona hajui umri wala nini. Ata makipa alianza kuwachosha tu ndio maana ubora wao unakwisha kilasikuUmejuaje kama mazoezi ndio yamewachosha Mkuu?
Ulikuwa nao kambini?
Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Inawezekana kuwa kweli ila team imekuwa ikicheza hovyo tangu mda
Mlete Wenger bado Simba itacheza ovyo. Aliyesajili kihuni ndo wa kulaumiwa.Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Mlete Wenger bado Simba itacheza ovyo. Aliyesajili kihuni ndo wa kulaumiwa.
we unayajua hayo mazoezi wanayopewa na cadena?we unajua leseni ya cadena? je wewe una leseni ipi ya ukocha mpaka ujue kuwa mazoezi ya cadena ni ya hovyo?Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.
Ha ha ha nimecheka sana.Umejuaje kama mazoezi ndio yamewachosha Mkuu?
Ulikuwa nao kambini?
Unazingua sasa mkuu, yule kipa muarabu mbona alikuwa mbovu toka yule chiba yupo.nilishamuona hajui umri wala nini. Ata makipa alianza kuwachosha tu ndio maana ubora wao unakwisha kilasiku
Toka alipokuwa Azam. Jana timu nzima ilikuwa imechoka vibayaUnazingua sasa mkuu, yule kipa muarabu mbona alikuwa mbovu toka yule chiba yupo.
Simba ina wachezaji wengi waliokaa nao mda mrefu na kucheza michezo mingi,hawa wachezaji ni heri waende kutafuta changamoto zingine.Tuachane na hizi sababu zisizosaidia timu, kiufupi wachezaji wengi wa Simba ni wale ambao graph zao za Upiganaji na Ufanisi uko kwenye kuteremka...
Hawa wachezaji nguvu zao walizokuwa nazo karibia miaka 10 iliyopita ndo zinahitajika kutimiza malengo ya hii Simba ya sasa...
Tatizo soyo Robertinho wala Mangungu sasa??Huyu Cadena hajui ukocha kabisa. Aliachiwa azam kidogo akaiua kwa staili hii hii ikitoka kushinda gemu 10 kati ya 11 chini ya Kali Ongala.
Leo sio kibu, Sio ngoma, Kanute au Mzamiru miguu kama ilifungwa mawe.
Kocha anatakiwa awatibu wachezaji majeraha ya mazoezi magumu kabla ya Gemu inayofata. Asifundishe chochote.