Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sababu ishaelezwa mkuu soma vizuri 😂Anayeweza kueleza faida ya hii picha yenye thamani kubwa namna hii aje hapa
Hawana muda mkuuWangenunua madawati ya shule zinazowazunguka ningewaelewa zaidi
Mkuu historia ya nini na itasaidia nini baada ya miaka mitatu mbeleSababu ishaelezwa mkuu soma vizuri 😂
"Rais Samia ameeleza kuwa picha hiyo ina historia kubwa katika maisha yake jambo ambalo limewavutia zaidi Wachimba madini nchini Tanzania kwa umoja wao na kuamua kununua picha hiyo kwa kiasi hicho."
hawajui jamaa wapo kimkakatiTafuteni pesa sio kuleta vurugu za kishamba.
Hapa ndiyo mwisho wako wa kufikiri?Tafuteni pesa sio kuleta vurugu za kishamba.
Uchawa na kujipendekezaMkuu historia ya nini na itasaidia nini baada ya miaka mitatu mbele
Labda, mana watu wanajichia sanaKwani ile sheria kuhusu zawafi kwa biongozi na watumishi wa umma, ilifutwa?
AiseeUchawa na kujipendekeza
Unalia nn? Wewe fuatilia tone kwa tone 😀 😀Hapa ndiyo mwisho wako wa kufikiri?
Hawana akili hizoWangenunua madawati ya shule zinazowazunguka ningewaelewa zaidi
Money launders katika ubora wao, nchi hij safari ni ndefuWachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8.
Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi.
Katika hafla ya usiku wa sanaa za picha uliofanyika Kizimkazi Zanzibar, Rais Samia ameeleza kuwa picha hiyo ina historia kubwa katika maisha yake jambo ambalo limewavutia zaidi Wachimba madini nchini Tanzania kwa umoja wao na kuamua kununua picha hiyo kwa kiasi hicho.
Pia Soma
- Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'
- Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?
Source TBC Digital