FactWangenunua madawati ya shule zinazowazunguka ningewaelewa zaidi
Kwa mazingira haya ni ngumu sanaSwali langu je afsa wa TRA anaweza kumkamata hata mwanachama mmoja wa chama icho cha wachimba madini endapo watakutwa wametorosha mzigo au kupiga magendo?
😂Nipendekezee username mkuuSubiria wakupe username kwanza ndo uingie tena Jf
Hiyo hiyo imekaa unyama😂Nipendekezee username mkuu
Nakubali mkuu nitainunua picha yako ya DP kwa Bilioni 2Hiyo hiyo imekaa unyama
Huo upuuzi alioupayuka huyo mbibi na wewe kwa akili zako kabisa umeuamini?Sababu ishaelezwa mkuu soma vizuri 😂
"Rais Samia ameeleza kuwa picha hiyo ina historia kubwa katika maisha yake jambo ambalo limewavutia zaidi Wachimba madini nchini Tanzania kwa umoja wao na kuamua kununua picha hiyo kwa kiasi hicho."
Sio kwamba yeye ndio anapokea hizo hela hapana.Kwani ile sheria kuhusu zawafi kwa biongozi na watumishi wa umma, ilifutwa?
Sanqq ya Picha zinatumikaga kwenye utakatishaji maana hakuna mamlaka inayoweza kupanga bei ya kaz ya sanaa ya ubunifu ndio maana bei zake hazinaga uhalisiaAnayeweza kueleza faida ya hii picha yenye thamani kubwa namna hii aje hapa
kumbukumbu ya muuwaji or killers trophyAnayeweza kueleza faida ya hii picha yenye thamani kubwa namna hii aje hapa
Ni uamuzi wao, pesa zao!Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8.
Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi.
Katika hafla ya usiku wa sanaa za picha uliofanyika Kizimkazi Zanzibar, Rais Samia ameeleza kuwa picha hiyo ina historia kubwa katika maisha yake jambo ambalo limewavutia zaidi Wachimba madini nchini Tanzania kwa umoja wao na kuamua kununua picha hiyo kwa kiasi hicho.
Pia Soma
- Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'
- Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?
Source TBC Digital
Hayo ni nawazo yako, huwezi kuwapangia matumizi ya pesa zao! We kanunue hayo madawatiWangenunua madawati ya shule zinazowazunguka ningewaelewa zaidi
Nibuni picha ya kifahari ikimuonesha rais akiwa peponi malaika wakimpepea, naamin nitapiga mkwanja mrefu.Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8.
Wachimbaji hao wamenunua picha inayowaonesha Pomboo (Dolphin) wakiwa ndani ya maji Kizimkazi.
Katika hafla ya usiku wa sanaa za picha uliofanyika Kizimkazi Zanzibar, Rais Samia ameeleza kuwa picha hiyo ina historia kubwa katika maisha yake jambo ambalo limewavutia zaidi Wachimba madini nchini Tanzania kwa umoja wao na kuamua kununua picha hiyo kwa kiasi hicho.
Pia Soma
- Rais wa Wachimbaji Madini: Napendekeza moja ya madini tuyabadilishe jina yaitwe 'Samia Suluhu Hassan'
- Rais Samia: Wachimbaji madini mnataka Ruzuku wakati Harusi mnazifanya na Helikopta?
Source TBC Digital
Safi sanaWachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8.