Kama wewe ni "maskini" yani huna zaidi ya milioni 200 benki na Mpesa walau milioni 30 na tigo pesa milion 17 na airtel money milioni 20 na M-Wekeza milioni 90 hio hela utaona kubwa lakini kwanza wachimbaji wamejidhalilisha, walau wangenunua kwa bilioni 5.
Hela ipo Tanzania, utajiri upo shambani, ninyi endeleeni kuuza sura Mlimani City na Mac Jice.