Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,636
Reaction score
2,053
TAWA WATER PROFFESIONAL:

Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.

Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa

1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa

2: Gravel nazo tutakuwekea bure

3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure

4: Tutakusafishia kisima chako bure pia

5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa

6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa

Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa

Tupo Dar es salaam-Chanika

Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu

Mawasiliano: 0625576082
0764418248

FB_IMG_1534838925511.jpg
FB_IMG_1534134864689.jpg
IMG_20180805_170822.jpg
 
Mkuu nina plan za kuchimba kisima maeneo ya vigwaza anytime mwezi huu au ujao. Gharama zimekaaje?
 
kwa sisi ambao maeneo yetu hayana umeme mashine za kuvuta maji mnatushauri tutumie nashine zipi, za upepo, dizel, generator au
 
TAWA WATER PROFFESIONAL:

Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa

1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa

2: Gravel nazo tutakuwekea bure

3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure

4: Tutakusafishia kisima chako bure pia

5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa

6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa

Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa

Tupo Dar es salaam-Chanika

Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu

Mawasiliano: 0625576082
0764418248
View attachment 872086View attachment 872088View attachment 872090
Aaaaaaaarkhghhh
Weka bei hapa
 
Mkuu nina plan za kuchimba kisima maeneo ya vigwaza anytime mwezi huu au ujao. Gharama zimekaaje?
Mkuu gharama za uchimbaji wa visina maeneo ya Vigwaza ni kama ifuatavyo
.bei ni elfu sabini kwa mita moja unawekewa bomba Upvc,pampu, na kusafishiwa kisima chako ila kumbuka hapa bomba zitakuwa ni za ukubwa wa inch 4.5

Bei elfu themanini kwa mita moja hapa utawekewa bomb Upvc,pampu,utasafishiwa kisima pamoja na kupewa water tank lako pia kumbuka hapa bomba utakazo pewa ni za ukubwa wa inchi 5
 
Msitudanganye hapa, hakuna kitu cha bure...
Ni kama kusema Lipa nauli ya morogoro 15,000/= then upelekwe chalinze bure!
Hilo tank mnalotoa ni lita ngapi?
Tanki la maji linategemea na urefu wa kisima tuna tenki la lita 1000 pamoja na tenki la lita 2000
 
kwa sisi ambao maeneo yetu hayana umeme mashine za kuvuta maji mnatushauri tutumie nashine zipi, za upepo, dizel, generator au
Ushauri tumia za genereta
 
Aaaaaaaarkhghhh
Weka bei hapa
Bei inategemea na saiti ilipo boss wangu maana saiti za Dar bei yake haifanani na saiti ambazo zipo mikoan... Karibu sana boss wangu
 
Bosi naomba ufahamu kidogo, maana maji ya ardhini mimi kichwani mtupu. Kuna kipimo au namna yeyote ya kubaini ubora wa maji (chumvi) yakiwa bado hayajachimbwa?
 
Back
Top Bottom