Ebu kidogo naomba nitoke nje ya mada tafadhali.
Sioni kama mna sababu ya kujivunia upuuzi mnao ufanya kwa kuwaanika wafanyakazi wenu kwenye matangazo yenu, huku wakiwa hawana vifaa vya usalama kama safety helmets, safety boots / shoes, hands gloves na hata uniform.
Kwa tangazo hili, ni ngumu kupata kazi kwa hasa watu makini kama mimi. Sababu sinto penda kuona ama kufurahia mfanyakazi wako akiumia ama akikufa kizembe katika eneo langu la kazi.
Naomba niseme kwamba hamfai kupewa kazi popote kwasababu hamfuati taratibu za usalama kazini zilizo wekwa kisheria na OSHA
View attachment 889202