Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina ya 2HP na inatumia kama masaa 3 iviSasa hivi una pampu ya ukubwa gani? Na inajaza ujazo huo kwa muda gani?
Dowing ya chinaKampuni gani?
Samahani hamjaweka uwezo was kila ofa mnayoa na ujazo wa tankTAWA WATER PROFFESIONAL:
Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa
1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa
2: Gravel nazo tutakuwekea bure
3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure
4: Tutakusafishia kisima chako bure pia
5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa
6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa
Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa
Tupo Dar es salaam-Chanika
Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu
Mawasiliano: 0625576082
0764418248
View attachment 872086View attachment 872088View attachment 872090
utasubiri sana, nilivyoangalia mafundi wake kwenye picha wakiwa pekupeku miguuni bila vifaa maalum vya kujikinga nimekata tamaa!Safi sana.naomba website yenu please
Sawa mkuu, basi fanyeni mabadiliko ili mpate kuboresha kazi zenu na wafanyakazi wenu wakuwe salamaUshauri mzuri... Ila Mungu ni mwema tunapata kazi
Ntakucheki mkuuYes boss tunafika
Mkoani ni bei gani? Nipo ArushaKaribu boss
Kuna watu wa pangani walipima maji sehem mbili zenye mashamba tofauti lakini ni jirani huko Rombo Kilimanjaro Tanzania, sehemu zote wakasema maji yapo 100m, lakini ukanda huo huo wa chini (lower zone) umbali kama kilomita 10 wafadhili walifanikiwa kupata maji, pia umbali kama kilomita 3 kuna ziwa ambalo wanasema chanzo chake cha maji ni mikondo ya chini kwa chini kutoka mlima kilimanjaro hadi ziwani, pia kwa upande wa juu ambao una vilima vidogo umbali mita 450 kuna chemchem mbili; moja inayo maji ya kutosha na nyingine kidogo sana
View attachment 990360
Je kuna probability ya kutosha kupata haya maji kama yakichimbwa? Japokuwa wamepima ndio lakini hofu bado ipo kama yasipopatikana itakua nini, kupoteza hela zote hizo, mita moja wanachimba kwa 150,00
Cc. Pohamba MUUZA NGADA Ushirombo