Wanazingua hawa hizo gharama zimejumlishwa zote kwenye bei ya kuchimbiaMsitudanganye hapa, hakuna kitu cha bure...
Ni kama kusema Lipa nauli ya morogoro 15,000/= then upelekwe chalinze bure!
Hilo tank mnalotoa ni lita ngapi?
Haswaa, ndio hivyo!Wanazingua hawa hizo gharama zimejumlishwa zote kwenye bei ya kuchimbia
AaaaaaaarkhghhhTAWA WATER PROFFESIONAL:
Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa
1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa
2: Gravel nazo tutakuwekea bure
3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure
4: Tutakusafishia kisima chako bure pia
5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa
6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa
Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa
Tupo Dar es salaam-Chanika
Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu
Mawasiliano: 0625576082
0764418248
View attachment 872086View attachment 872088View attachment 872090
Na mimi nimetaka kushangaa wakupe vyote hivyo bure kisa?Wanazingua hawa hizo gharama zimejumlishwa zote kwenye bei ya kuchimbia
Mkuu gharama za uchimbaji wa visina maeneo ya Vigwaza ni kama ifuatavyoMkuu nina plan za kuchimba kisima maeneo ya vigwaza anytime mwezi huu au ujao. Gharama zimekaaje?
Tanki la maji linategemea na urefu wa kisima tuna tenki la lita 1000 pamoja na tenki la lita 2000Msitudanganye hapa, hakuna kitu cha bure...
Ni kama kusema Lipa nauli ya morogoro 15,000/= then upelekwe chalinze bure!
Hilo tank mnalotoa ni lita ngapi?