Nisikuongopee hicho sisi hatuna na wachimbaji wengi hawana so ni ngumu kujuwa quality ya maji kabla hujayachimba boss wanguBosi naomba ufahamu kidogo, maana maji ya ardhini mimi kichwani mtupu. Kuna kipimo au namna yeyote ya kubaini ubora wa maji (chumvi) yakiwa bado hayajachimbwa?
TAWA WATER PROFFESIONAL:
Tunachimba visima virefu na vifupi kwa kutumia mashine maalumu.
Ukichimba kisima na kampuni yetu tutakuwekea vitu vifuatavyo bure kabisa
1: Tutakuwekea Upvc pipes Imara bure kabisa
2: Gravel nazo tutakuwekea bure
3: Tutakupa na kukufungia Water pump bure
4: Tutakusafishia kisima chako bure pia
5: Pia tutakupa na water tank bure kabisa
6: Pia tunatoa ushauri bure kabisa
Bei zetu ni nafuu kabisa Pia tunafanya Underground water survey kwa gharama nafuu kabisa
Tupo Dar es salaam-Chanika
Kwa maelezo ya kina usisite kunipigia simu
Mawasiliano: 0625576082
0764418248
Wanakupenda sanaaNa mimi nimetaka kushangaa wakupe vyote hivyo bure kisa?
Mnapampu ya kuweza kujaza tanki la lita elfu kumi kwa nusu saa? Kisima kinaurefu wa mita 150Mita moja elfu sabini boss
Mkuu kama upo Dar tunafanya kwa laki tatu na nusu unapewa na report yako kabisa
Thanks boss.Singida ni laki sita na nusu boss wangu
una umri Gani tangu uanze drilling?Nisikuongopee hicho sisi hatuna na wachimbaji wengi hawana so ni ngumu kujuwa quality ya maji kabla hujayachimba boss wangu
Ushauri mzuri... Ila Mungu ni mwema tunapata kaziEbu kidogo naomba nitoke nje ya mada tafadhali.
Sioni kama mna sababu ya kujivunia upuuzi mnao ufanya kwa kuwaanika wafanyakazi wenu kwenye matangazo yenu, huku wakiwa hawana vifaa vya usalama kama safety helmets, safety boots / shoes, hands gloves na hata uniform.
Kwa tangazo hili, ni ngumu kupata kazi kwa hasa watu makini kama mimi. Sababu sinto penda kuona ama kufurahia mfanyakazi wako akiumia ama akikufa kizembe katika eneo langu la kazi.
Naomba niseme kwamba hamfai kupewa kazi popote kwasababu hamfuati taratibu za usalama kazini zilizo wekwa kisheria na OSHA View attachment 889202
mbona unapiga bei mzee?Singida ni laki sita na nusu boss wangu