Wachimbaji visima vya maji kwa mashine: Tutakupa pampu, UPVC Pipes, utasafishiwa kisima na kupewa tenki

Samahani hamjaweka uwezo was kila ofa mnayoa na ujazo wa tank
 
Karibuni kwa huduma bora za uchimbaji wa visima
 
TAWA WATER PROFFESONAL

Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa

Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu hamsini kwa mita moja (Tshs 50000) na wateja wa mkoa wa pwani ni elfu sitini kwa mita moja (Tshs 60000)

Tutakuwekea Bomba Upvc,Pampu pamoja na kukusafishia kisima chako .

Ukichimba na sisi tunakuwekea na tenki la maji bure kabisa

Mawasiliano: 0625 576082
0764 418248
Tupo Dar es salaam Chanika-Msumbiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wa pangani walipima maji sehem mbili zenye mashamba tofauti lakini ni jirani huko Rombo Kilimanjaro Tanzania, sehemu zote wakasema maji yapo 100m, lakini ukanda huo huo wa chini (lower zone) umbali kama kilomita 10 wafadhili walifanikiwa kupata maji, pia umbali kama kilomita 3 kuna ziwa ambalo wanasema chanzo chake cha maji ni mikondo ya chini kwa chini kutoka mlima kilimanjaro hadi ziwani, pia kwa upande wa juu ambao una vilima vidogo umbali mita 450 kuna chemchem mbili; moja inayo maji ya kutosha na nyingine kidogo sana


Je kuna probability ya kutosha kupata haya maji kama yakichimbwa? Japokuwa wamepima ndio lakini hofu bado ipo kama yasipopatikana itakua nini, kupoteza hela zote hizo, mita moja wanachimba kwa 150,00

Cc. Pohamba MUUZA NGADA Ushirombo
 
Maji yanapatikana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…