Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
...n@ vifo vya covid kwa viongozi mbalimbali vikakomea hapo.!!!
Inasikitisha.
Hapo pichani nafahamu watatu walioondoka kwa "covid".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...n@ vifo vya covid kwa viongozi mbalimbali vikakomea hapo.!!!
Maboss wako wanatembeza bakuli UjerumaniHakika Corona ilikomboa Taifa letu, bila corona sijui ingekuwaje. Corona ijengewe sanamu. Over
Wewe ni nzima hapo ulipo?Aliidharau COVID-19 ikamfyekelea mbali!
no body know!
Kwani unahisi nimekufa??Wewe ni nzima hapo ulipo?
Jitathmini
Wewe ulikufa kwa Nini Hadi sasa unaandika huu ujingaMbona sasa yeye Magufuli alikufa kwa coronavirus hiyo hiyo ambayo mnamsifia?
Nilikufa halafu unanisoma. Wewe ni msukule wa Mwendazake tuWewe ulikufa kwa Nini Hadi sasa unaandika huu ujinga
Kama unaujua huo ukweli kwa nini unajitoa ufahamu na kukebehi kifo cha Magufuli?Binadamu mradi ulizaliwa utafufa tu.
Iwe covid, ukimwi, ebola, malaria kisukari, pressure, ajali, sumu, mauaji, kujinyonga au kuzama.
Ni pale unaposuka kumwondia mtu duniani kwa hila, karma inasema adui kifo atakunyemelea tu na kukupata kwa kukutanguliza.
Ila wote ni wa udongo kwa wakati Mola anaona unafaa.
Hebu jiulize kwa nini unaamini hivyo?Aliidharau COVID-19 ikamfyekelea mbali!
Sweden ipi unazungumzia wewe?Sweeden pia labda zinaongozwa na Magufuli...wabongo wanapenda sifa za kizamani,kuabudu watu.
Kuna vifo watu wanajitakia!Kama unaujua huo ukweli kwa nini unajitoa ufahamu na kukebehi kifo cha Magufuli?
Sweden ipi unazungumzia wewe?
Hapo ilipigwa lockdown vizuri tu kimyakimya.
Labda km umekwenda juzi
Ya kwanza na ya pili,ya tatu ndio watu wanaendelea kujichanganya maana karibia wote washadungwa
Sweden ipi unazungumzia wewe?
Hapo ilipigwa lockdown vizuri tu kimyakimya.
Labda km umekwenda juzi
Ya kwanza na ya pili,ya tatu ndio watu wanaendelea kujichanganya maana karibia wote washadungwa chanjo zaidi ya mara 2.
Unaongea kama upo Sweden au ushafika vile..sasa unataka kubisha nini?? Tunaongelea Lockdown na sio chanjo.Sweden ipi unazungumzia wewe?
Hapo ilipigwa lockdown vizuri tu kimyakimya.
Labda km umekwenda juzi
Ya kwanza na ya pili,ya tatu ndio watu wanaendelea kujichanganya maana karibia wote washadungwa chanjo zaidi ya mara 2.
Watu wanaenda huko na kurudi kila siku.Unaongea kama upo Sweden au ushafika vile..sasa unataka kubisha nini?? Tunaongelea Lockdown na sio chanjo.
Watu gani ni wewe mwenyewe au watu wako wakaribu buddy??? Kijiji gani unacho zungumzia??Watu wanaenda huko na kurudi kila siku.
Mijini kote kulikua na lockdown kabla ya chanjo labda huko ulipo kijijini
Leave it,Watu gani ni wewe mwenyewe au watu wako wakaribu buddy??? Kijiji gani unacho zungumzia??
We utakufa kishujaa kwa HIV, Malaria na kipindupinduBoya kafa kisenge
Leave it,
Lockdown ilikuwepo on the first days of
Leave it,
Lockdown ilikuwepo on the first days of Covid huko.
theconversation.com