Wachina huu sio ujanja

Wachina huu sio ujanja

Bado unanyolea viwembe? Ingia dukani nunua shaver, zipo Hadi za elfu 7, hapo wewe ni kuchaji tu na kutumia.....miwasho, mapele ya ndevu na maporomokoni utayasikia Kwa jirani.
Kwa wapenda madongo kuna tofauti kubwa mno baina ya dongo la shaver na dongo la kiwembe.
 

Attachments

  • IMG20230620104250.jpg
    IMG20230620104250.jpg
    1.6 MB · Views: 4
Back
Top Bottom