HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sio Gillete za Kariakoo au kwa mangi.Kuna tofauti kubwa baina ya brand na brand.
Jaribu kutumia Gillete halafu ukatest rungu ndio utajua kuna tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Gillete za Kariakoo au kwa mangi.Kuna tofauti kubwa baina ya brand na brand.
Jaribu kutumia Gillete halafu ukatest rungu ndio utajua kuna tofauti.
Bado ipo ila bei imechangamkaTOPAZ ilikuwa ni ya kipeekee unachoronga vu$zi zotee
Hii kitu ilikuwa havikatiki inajikunya tu.View attachment 2663143
Kitu hicho. Kilikuwa kinauzwa Sh. 10
Kariakoo Mbali hapo Fire tu anapata kila kituIngia kariakoo, vipo za kila aina Kwa uchumi wako.
TBS hawana tatizo, tatizo ni wanunuaji kutaka mtelemkoTBS wako miguu juu ofisin
Halafu wanakumbatiwa Kariakoo kama wawekezaji wakubwaHivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.
View attachment 2662408
View attachment 2662411
mimi nilitazama kwa macho tuh nikajiapiza kamwe siwezi kupakaza ule ujingaInachoma ile kitu acha kabisa,kuna siku nimepaka korodani ziliungua hatari.
Zipo Bic na Gillette zinauzwa kwenye Super Markets ni nzuri, ninazo nilizonunua 2 yrs ago hazina hata dalili ya kubutukaSio Gillete za Kariakoo au kwa mangi.
Hahhhha za michongo hiziukikatia kucha sasa. yaani kucha moja tu makali kwishaa pande zote
Hivi hiyo mikunjo ya huo uwazi aa katikati ni lazima iwe hivyo? Haiwezi kuwa shape nyingine?Hivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.
View attachment 2662408
View attachment 2662411
Huo uwaz ni kwa sababu ya kibana wembe, hapo kale- mpaka sasaa kunahitajika shimo la kati kwa ajili ya kukaza na mawili pembeni kusuport wembe kwenye kinyoleo. Ni ngumu kuacha mambo ya kaleHivi hiyo mikunjo ya huo uwazi aa katikati ni lazima iwe hivyo? Haiwezi kuwa shape nyingine?
Ooh, kumbeHuo uwaz ni kwa sababu ya kibana wembe, hapo kale- mpaka sasaa kunahitajika shimo la kati kwa ajili ya kukaza na mawili pembeni kusuport wembe kwenye kinyoleo. Ni ngumu kuacha mambo ya kale
View attachment 2664168
Achana na mchina nenda kwa msomaliHivi wachina mbonaa wanatusababishia hasara, ona leo nataka ninunue wembe wa dorco nimeishia kununua sijui ushenzi gani.
View attachment 2662408
View attachment 2662411
Unaongelea og au brand kubwa na zilizozoeleka?Nyembe og zipo shoppers to,huku nje hizo hazipo kabisaaa
Og,maana za kwao huku madukani hakuna kabisa,ni tofautiUnaongelea og au brand kubwa na zilizozoeleka?
Watanzania ni masikini sanaOg,maana za kwao huku madukani hakuna kabisa,ni tofauti
📌Ila nazidi kujifunza kuwa, kwenye hii dunia yetu usisubirie nafasi ikufuate, unaichukua mwenyewe hata kwa kunyan'anya.
Harafu mnakataa wawekezaji wakati hakuna mnachojua,Sasa mtajuaje kama hutaki ijifunze Kwa anaejua?