Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo

Hivi ile barabara ya baharini ya wakorea imeishia wapi? Ebu tuwe na vipaumbele kwanza sio kila mradi tunasaini matokeo yake hauanzi kwa wakati
 
Hivi ile barabara ya baharini ya wakorea imeishia wapi? Ebu tuwe na vipaumbele kwanza sio kila mradi tunasaini matokeo yake hauanzi kwa wakati
Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....
 
Ubungo eneo dogo.. Wangeenda Tegeta au Kigamboni wanunue yale magorofa ya Dege Eco Village..
 
Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....
Na wale waliokua wanaweka machuma ukipita maeneo ya surrender bridge nilikua nawaona ndio walikua wanafanya nini?
 
Nikikumbuka animation ya mwendokasi dah haya
 
Tumechoka na photo shop zenu...
Mlikuja na propaganda za kuijenga Dar iwe kma new York ...mpka leo kimya,tunakula vumbi tu kma kawa mitaani kwetu
 
Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....
Ilikua ni kitu kinaitwa environmental impact assessment kabla ya kutangaza tender ya ujenzi wowote especially maeneo kama yale ni lazima serikali ifanye hio analysis....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…