ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
wow thanks for render😀😀😀😀😀😀![]()
An artistic impression of Tatu City, Kenya's largest industrial park worth $2.3 million. (Courtesy)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wow thanks for render😀😀😀😀😀😀![]()
An artistic impression of Tatu City, Kenya's largest industrial park worth $2.3 million. (Courtesy)
Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....Hivi ile barabara ya baharini ya wakorea imeishia wapi? Ebu tuwe na vipaumbele kwanza sio kila mradi tunasaini matokeo yake hauanzi kwa wakati
Waangalia mzunguko Wa kiuchumi kwa Tz ndiyo inaongozaHivi mkoa ni Dar tu, mbn hawaendi mikoa mingne nayo ikue!
Na wale waliokua wanaweka machuma ukipita maeneo ya surrender bridge nilikua nawaona ndio walikua wanafanya nini?Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....
Sementary kutoka MbeyaKuna msanii kaimba anataka kuinunua dar afanye hivyo mapema hata kama hela haitoshi nitamuongezea
Mkuu hyo avatar yako sio kabisa. [emoji1] [emoji1]Ile project ya kurasini imeishia wp pia? Nilisikia wanajenga center ya biashara kwahiyo watu hawatahangaika tena kwenda Guangzhou.
Tumechoka na photo shop zenu...![]()
Dar es Salaam. China inakusudia kujenga Kituo cha Kisasa cha Kibiashara katika eneo la Ubungo, kikiwa na uwezo wa kukusanya shughuli zote za biashara na mahitaji ya nyumbani.
Kituo ambacho kitakapokamilika kitalifanya Jiji la Dar es Salaam lifahamike kama ‘Dubai ndogo ya Tanzania’.
Pia, kituo hicho ambacho ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwaka huu na kukamilika baada ya miezi 15, kinatajwa kuwa tofauti na Soko Kuu la Kariakoo, kitakuwa na zaidi ya maduka 3,000, maghala madogo zaidi 300 na eneo lenye uwezo wa kuhifadhi magari 5,000. Kitajengwa na Kampuni ya LingHang na kusimamiwa na Serikali ya China.
Wachina kujenga Dubai ndogo ya Tanzania Ubungo
DAR ES SALAAM |China commercial city project | Approved - SkyscraperCity
Ilikua ni kitu kinaitwa environmental impact assessment kabla ya kutangaza tender ya ujenzi wowote especially maeneo kama yale ni lazima serikali ifanye hio analysis....Tender ya kutafuta mkandarasi imeshatangazwa mwisho wa kuomba ni 15 December. Tender ni kwa makampuni ya Korea Kusini tu....
Nahisi inaweza kuwa paleubungo ipi? Au ndio pale simu2000
Hard hit bro...this guys are celebrating peanutsEldoret EPZ is already bigger than this
Secondly Eldoret EPz is already under construction
Next!!!