Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 6,291
- 10,192
Hapo vipi?
Ni baada ya kuvumilia kwa muda mrefu kutokana na kuuziwa spare(vipuri) vya pikipiki yangu (TVS) msaada wa kwenda kazini kwangu fake kwa bei ya juu sana, baada ya mwezi kimekufa.
Naomba kuulizia tafadhari, enyi wakazi wa dar (mimi nipo mkoani) ni eneo gani nikifika hapo dar es salaam especial kariakoo (maana napasikia na huwa nafika mara moja moja naishia kwa mawinga wa subilia kidogo nicheki store), ni mtaa upi, duka lipi, maeneo yapi naweza pata spare original za TVS?
Nimechoka kubadilisha fake spare parts kwa kisingizio original zipo bei juu.
Nasikia kuna ahueni huko ya wachina.....