KERO Wachina wa Global Aluminium Ltd cha Kibaha – Zogowale wananyanyasa wafanyakazi wao

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.

Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.

Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
 
POLENI sana.

Watanzania wengi kwenye hizi Kampuni za kigeni wanakuwa treated kama Watumwa kwenye Taifa lao.

Na wanachukua advantage kwenye "KAMA MASHARTI YA KAZI NI MAGUMU, BASI ACHA KAZI WAAJIRIWE WENGINE".

Mkulu yeye anawaza kuwachapa mikwaju tu, ila haya hawezi yaona.
 
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.

Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.

Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Acheni uvivu wabongo mmekua kama wasauzi fanyeni kazi acheni kulalamika sikukuu ya nini sasa
 
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.

Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.

Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Miliki kampuni yako ndio uje uone ilivyongumu kudeal na kima wa Kitanzania .Mtanzania ni ngumu Sana kudeal naye hasa kwenye uaminifu na uwajibikaji
 
Kuna watu wamevamia huu uzi wala hawajajisumbua kutafuta ukweli.. Shida zilizosemwa zipo na hapo mhusika kataja sehemu tuu ya tatizo kubwa sana
 
nitafute nikupe ajira kwenye
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.

Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.

Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
nicheki nikupe ajira kwenye kiwanda cha Prance -goodone kama unakijua njo kesho na wengine kama 40 ivi mshahara 200k,bonus,overtime au nicheki hapa 0657392242
 
Miliki kampuni yako ndio uje uone ilivyongumu kudeal na kima wa Kitanzania .Mtanzania ni ngumu Sana kudeal naye hasa kwenye uaminifu na uwajibikaji
mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.
 
Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.

Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.

Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Kwenye kipengele cha unyanyasaji, wakati mwingine na sisi wabongo tunatakiwa kujitathmini. Tuna tabia ya uvivu, na tunapenda kufanya kazi kwa mazoea! Wenzetu wenye ngozi nyeupe huu ujinga hawana.
 
Poleni sana. Hapo shida kubwa naona ipo kwenye kukatana hizo NSSF. Tatizo pia wabongo waliobarikiwa pesa nyingi huishia kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba wakati viwanda kama hivyo vya mabati wangemudu kufungua na kuajiri wenzao.

Ila kwa upande mwingine wazawa kwenye kazi ni janga. Kuna mtu alipata ajira Kigoma akakataa kwenda kisa kukosa kwenda pale klabuni Yanga kila siku kupiga umbea wa Yanga.
 
mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.
Nimefanya Kazi kiwanda kikubwa tu Cha vinywaji kama Engineer na Nina colleagues wapo kwenye hiyo industry so trust me nikikwambia Mtz ni specimen ya ovyo sanaa inapokuja kwenye ayo mambo hapo juu.I know what I'm saying
 
Back
Top Bottom