Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,094
- 1,503
Uaminifu anakulipa tshs ngapi?mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.
Uaminifu anakulipa tshs ngapi?mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.
Sikukuu siyo muhimu sana.Acheni uvivu wabongo mmekua kama wasauzi fanyeni kazi acheni kulalamika sikukuu ya nini sasa
🤣🤣🤣Kuna member anatafuta wafanyakazi humu jukwaani, isije kuwa ni hiki kiwanda.
Kaka kupumzika muhimu watu wanatakiwa kukaa na familia zao walau mara Moja Kwa wiki, kucheki afya na mengineyo, acha hizo kaka binadamu si pundaAcheni uvivu wabongo mmekua kama wasauzi fanyeni kazi acheni kulalamika sikukuu ya nini sasa
Kwani ukiingia sikukuu hamna replacement ya siku nyingineKuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Hao utakuta ni maHR wao wakibongo,maana wao wanajiita Wachina weusi hawapo kutetea maslahi kwa Watanzania wenzao kadri sheria na taratibu za kazi zitakavyo.Naona watetezi wa wachina wameona la sikukuu na uwajibikaji. Lakini la kukatwa mafao na kutoyapata baada ya mktaba kuisha hawajaliona
Hujui halafu unakandia! Taab gani hii! Yeye aliyeko huko, anayeyaishi hayo kayaleta hapa. We unasiriba, kwamba si mkweli??Najua ila sidhani kama hawafati kalenda ya Taifa husika pia Viwanda hua vinashift hawawezi kuacha kuzalisha kisa Holiday