A
POLENI sana.Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Acheni uvivu wabongo mmekua kama wasauzi fanyeni kazi acheni kulalamika sikukuu ya nini sasaKuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Miliki kampuni yako ndio uje uone ilivyongumu kudeal na kima wa Kitanzania .Mtanzania ni ngumu Sana kudeal naye hasa kwenye uaminifu na uwajibikajiKuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Hujui kuwa ukifanya kazi holidays Ina treatment yake kisheria?Acheni uvivu wabongo mmekua kama wasauzi fanyeni kazi acheni kulalamika sikukuu ya nini sasa
Najua ila sidhani kama hawafati kalenda ya Taifa husika pia Viwanda hua vinashift hawawezi kuacha kuzalisha kisa HolidayHujui kuwa ukifanya kazi holidays Ina treatment yake kisheria?
Production inaendelea subject to the adherence to the tanzanian labour lawsNajua ila sidhani kama hawafati kalenda ya Taifa husika pia Viwanda hua vinashift hawawezi kuacha kuzalisha kisa Holiday
nicheki nikupe ajira kwenye kiwanda cha Prance -goodone kama unakijua njo kesho na wengine kama 40 ivi mshahara 200k,bonus,overtime au nicheki hapa 0657392242Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
njo na namba ya NIDA tunitafute nikupe ajira kwenye
nicheki nikupe ajira kwenye kiwanda cha Prance -goodone kama unakijua njo kesho na wengine kama 40 ivi mshahara 200k,bonus,overtime au nicheki hapa 0657392242
mkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.Miliki kampuni yako ndio uje uone ilivyongumu kudeal na kima wa Kitanzania .Mtanzania ni ngumu Sana kudeal naye hasa kwenye uaminifu na uwajibikaji
Mshahara 200k? Kwa wiki au kwa Mwezi? Kama ni kwa mwezi huo ni unyonyaji uliopitiliza aisee.nitafute nikupe ajira kwenye
nicheki nikupe ajira kwenye kiwanda cha Prance -goodone kama unakijua njo kesho na wengine kama 40 ivi mshahara 200k,bonus,overtime au nicheki hapa 0657392242
Kwenye kipengele cha unyanyasaji, wakati mwingine na sisi wabongo tunatakiwa kujitathmini. Tuna tabia ya uvivu, na tunapenda kufanya kazi kwa mazoea! Wenzetu wenye ngozi nyeupe huu ujinga hawana.Kuna kiwanda cha kinaitwa Global Aluminium Ltd kipo Kibaha Zogowale, Wachina wanaamrisha mfanyakazi aende kazini kila siku hakuna sikukuu wala weekend.
Kama hutaenda unafukuzwa kazi, mikatabao ya uongo, NSSF wanakata, barua upewi, ukimaliza mkataba kiufupi ni manyanyaso.
Kuna mchina mmoja yupo mashine namba 5 ananyanyasa sana wafanyakazi anawafukuza kila siku.
Nimefanya Kazi kiwanda kikubwa tu Cha vinywaji kama Engineer na Nina colleagues wapo kwenye hiyo industry so trust me nikikwambia Mtz ni specimen ya ovyo sanaa inapokuja kwenye ayo mambo hapo juu.I know what I'm sayingmkuu swala la uaminifu, Watz tukasome, hatumfikii mhindi na mchina. ukitak amini uliza watu wa DANGOTE plus viwanda vikubwa.