teknolojiaKwa nini Wachina ni wawekezaji kutoka nje ila wanauza vitu bei rahisi kuliko wazawa??
😆wametia sugar kwa mbali ama?Afu bei cheee matamu sana
Kumbe tayari umeshamuonja na kumuonja mshangazi.Afu bei cheee matamu sana
Karibu mshangazi,enea hata kule kazuramimba kwani ukame kama wote.Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L
Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chaoView attachment 3532995View attachment 3532997
Sio buku mkuu?1.8L halafu jero eti
Ndio 😃😃Kumbe tayari umeshamuonja na kumuonja mshangazi.