acha mchina awapge bao wazawa maana mfano mi npo kanda ya ziwa kampuni ya jambo jamukaya anatengeneza maji, juice nk lakn bei anayouza uku kanda ya ziwa ni sawa na juice na maji ya azam uhai, wkt jambo yeye gharama za usafiri zko chini tofauta na bidhaa za azam znatoka dsm ilitakiwa ili ateke soko kanda ya ziwa maji ya buku auze hata jero tu, halafu uko dsm ndo auze bei kubwa, azam nae ilitakiwa kwa dar na pwani na morogoro,tanga, mtwara, lindi angeshusha bei sbb gharama za usafiri si kubwa.Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L
Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chaoView attachment 3532995View attachment 3532997
wachina wanakuja na tech cheap sn ambayo haina gharama kubwa ya uendeshaji, unakuta hcho kiwanda kpo eneo dogo sn na machine ndogo za ksasa umeme kdogo sn, znasafisha maji, znatoa chumvi maji yanakuwa safi kwa gharama ndogo mno, unakuta machine zpo kwny kachumba kamoja tu na znahtaji watu 4 wa kuziongoza, mmoja wa computer, mwngne wa kuweka dawa na wawili wa kupanga na machine zko faster.Kwa nini Wachina ni wawekezaji kutoka nje ila wanauza vitu bei rahisi kuliko wazawa??
Ok.Hawa Wachina wanaokamatwa na mabilioni kwenye viroba hawana la kuambiwa na TBS.
Na tatizo sio kwa TBS pekee, machimbo ya madini kule kanda ya ziwa (ambayo nayo siku hizi yamevamiwa na Wachina) yanamwaga mercury kwenye vyanzo vya maji, unakutana na kesi nyingi za kansa uko Shinyanga na Simiyu. Tatizo ni serikali nzima kuanzia wanaosimamia uwekezaji, manufacturing, biashara, exports na imports, sera za uchumi, mikopo na kila kitu.
WaBongo atakuja na propaganda kwamba yanapunguza nguvu za kiume ili kuharibu soko la Mchina😁😁Acha tuone!!Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke.
Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada”
Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L
Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chaoView attachment 3532995View attachment 3532997
Kwahiyo Wachina ni wasafi, ila Watanzania ndio wenye makosa na serikali ilaumiwe?Ok.
Kwa hiyo kimsingi tatizo sio wachina na biashara zao. Ni mifumo ya serikali ndio imefeli. Pia tufahamu kuwa magumashi hayafanywi na watu wa nje tu, ni pamoja na wabongo wenzetu. Mfano ni wanaoingiza bidhaa zisizo na viwango na wakijua hazina viwango ni watz wenzetu. Na mara kadhaa waswahili wamekamatwa wakitengeneza pombe feki huko Manyara.
Kwa hiyo lawama ziende kwa serikali.
Watz hatupendani , wengi tunataka utajiri kwa waumiza wenziwe.Kwa nini Wachina ni wawekezaji kutoka nje ila wanauza vitu bei rahisi kuliko wazawa??
Hujanielewa. Nisome tena.Kwahiyo Wachina ni wasafi, ila Watanzania ndio wenye makosa na serikali ilaumiwe?
China wanakopeshwa mikopo Kwa annual interest ya aslimia 3Naona wazawa wanaweka margin kubwa zaidi
Fikra tu
Wachina viwanda vinatoka kwao na wanajua wapi pa kuvipata na huenda hata hitilafu ilitokea wana vijana wao wa kutengeneza pia.
Sisi ujanja mwingi sana
Nakumbuka hata Nairobi Wasomali walishika soko la vyombo na kuwatoa wahindi wazoefu kwenye biashara kwa sababu ya unyonyaji na bei kubwa wakajisahau sana
Wewe bhn upo kama mimi. Nlivyoyaona tu nikamwambia sister wangu "hapa hakuna maji." basi akacheka 😅😅 namskia anasema "maji yenyewe Mengi 1.8L khaa kama ya bule." 🤣🤣Kila mtu na mteja wake. Wanaofuata bei wapo,wanaofuata jina wapo,wanaonunua kilichopo wapo. Mimi binafsi hata angeuza tzs 100 sinunui maji ya mchina.
Hapo ndio tunaita kukosa elimu ya BiasharaChina wanakopeshwa mikopo Kwa annual interest ya aslimia 3
Unataka alingane bei na mtanzania anaekopeshwa na bank za Tanzania Kwa interest ya 20%+ ?
Acheni unafiki na roho mbaya.
Hao wachina wanakuja kuchota Hela wanapeleka kwao
Hiyo PREDATORY PRICING ndio unyama wenyeweHawana tamaa kama wazawa. Halafu kingine wanatumia technolojia yenye high productivity. Kwahiyo unakuta average cost yao ni ndogo kuliko makampuni ya wazawa.
Halafu kwenye biashar kuna kitu tunakiita predatory pricing--unauza bidhaa kwa bei ya chini ili uuwe ushindani na baadae uweze kuliteka soko.
Hawana tamaa kama wazawa. Halafu kingine wanatumia technolojia yenye high productivity. Kwahiyo unakuta average cost yao ni ndogo kuliko makampuni ya wazawa.
Halafu kwenye biashar kuna kitu tunakiita predatory pricing--unauza bidhaa kwa bei ya chini ili uuwe ushindani na baadae uweze kuliteka soko.
Ndo unyama huo. Kibongo bongo, ukiifanya vizuri, aisee washindani wako wote unawakimbizaHiyo PREDATORY PRICING ndio unyama wenyewe