Ebana wanajamvi inakuwaje?
Wachina kwenye mitandao yao ya kijamii wechat na weibo. Wamelalamika, kukasirika na kuja juu kuhusu wimbi kubwa la waafrika kuwaigiza lugha yao kwa vichekesho kwenye mitandao ya kijamii Tiktok, Instagram, Facebook na YouTube.
Wamedai wao wachina wakiwaigiza waafrika wanaitwa wabaguzi hata kufunguliwa mashtaka lakini waafrika wakiigiza lugha yao kwa vichekesho ni poa.
Wameenda mbali nakudai hata wanapoiga lugha yao haina uhalisia kwani wanaongea tofauti kitu hakieleweki.
Chini hapa ni video ya mtanzania akiigiza kichina kwenye daladala.
View: https://youtube.com/shorts/Cmq9GFJlnAc?si=Rrr2mIk120LPJgak