matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mahali popote mzungu amepita kutafuta riziki huwa panaqchwa katika Hali Bora.
Williamson alitoka Canada Hadi misungwi kabla ya uhuru. Akaishia Mwadui na kuacha mji wenye hadhi ya juu sana.
Ukienda KWA Mzungu Barrick Kahama na Nyamongo ni miji inayokuwa KWA kasi na wafanyakazi hawajachoka sana.
Mchina huyu anayekuja kujitafuta huku bongo ni mchovu sana. Anapambana ashindane Hadi na wauza samaki. Leo nimekutana na mchina amekuja kufuga samaki ziwani. Akivua anapakia na kwenda kuuza sokoni kama mama zetu masikini.
Niliwahi kusoma makala moja wachina vijana chini ya 20yrs waliokuja bila KITU Afrika na Sasa ni mabilionea wakubwa. Walikuwa wanaalika wenzao waje kumega keki hii nyeusi na tamu sana.
KIla wanapopita hawaachi hata footprints za utajiri. Bila kuwacontrol hawa wajomba na kuwawekea policy watasomba Kila KITU.
Najiuliza?
1: KWA nini mzungu aliweza kutoka Canada wakati ambapo hakuna hata Barabara Dar Mwanza ila akaforce na kutoboa wakati watanzania Bado tunalia eti ni masikini KWA sababu CCM haijajenga miundombinu?
2: Hawa wachina mbona wachovu tu na wanaishi kibahiri kuliko hata wabongo lakini KWA uvumilivu wanatoboa, sisi tunafeli wapo?
3: Nini hatma ya kuendelea kupromote ujinga wa mbongo wakati werevu wanajaa kutoka dunia nzima kiluchota tunu za ukwasi?
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi