Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
- Thread starter
- #21
Dah! Dumelambegu nafikiri uelewa wetu ulikua sawa....
Huyo jamaa maoni yake ya kwanza tu yalibainisha uzoefu wake mpana katika suala hili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Dumelambegu nafikiri uelewa wetu ulikua sawa....
Hivi dunia ya sasa hivi kuna watu bado wanalimbuka na hii kitu? ni lazima yawe makubwa? au ndo kila mtu anapenda kivyake? nashukuru sijawahi ambiwa ina makalio madogo au mabaya nafikiri anaridhika nilivyo. lol
Mzee wa mizigohuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Huyo jamaa maoni yake ya kwanza tu yalibainisha uzoefu wake mpana katika suala hili.
Ndugu zangu,
Mara kadhaa imejitokeza mijadala humu jamvini kuhusu dawa za kichina za kuongeza au kupunguza ukubwa wa viungo mbalimbali vya miili yetu. Lakini mjadala mkubwa umekuwa unahusu dawa ya kuongeza makalio na hips ambayo imechangamkiwa sana na wanawake wengi hapa nchini. Hivi sasa, ukitembelea miji mikubwa kama Dar, Mwz, Ars na Mby limekuwa ni jambo la kawaida kuonana na asilimia kubwa ya wanawake wakiwa 'wamefungasha' nyuma tena 'mgizo' ulioshehena haswa huku wakiwa wamevaa suruali.
Ninachojiuliza ni maswali yafuatayo:
(i) Wachina walijuaje kuwa dawa ya kuongeza makalio itakuwa na soko kubwa Tanzania/Afrika? Je, walifanya utafiti kwanza kwa kuuliza wanawake/wanaume?
(ii) Kwa nini wenyewe wachina hawatumii dawa hizo za kuongeza makalio na hips? Je, ni kwa sababu wanaogopa madhara yake au ni kwa sababu makalio makubwa hayana soko kubwa huko kwao?
(iii) Hivi kwani makalio makubwa yana matumizi gani ya maana katika suala zima la mapenzi? Je, kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa na utoshelezi wa tendo la ndoa? Wengine wanasema ni maarufu kwa matumizi ya 'kinyume na maumbile'. Je, kuna ukweli gani kuhusu hili?
Nadhani utakuwa mjadala mzuri kwa wikiendi hii. Karibuni!