Wachina walitambuaje kuwa Tanzania/Afrika ni soko kubwa la dawa ya kuongeza makalio?

Wachina walitambuaje kuwa Tanzania/Afrika ni soko kubwa la dawa ya kuongeza makalio?

Wachina sio waanzilishi wa hiyo technologia. Waswahili walianza kuita hiyo kitu ni mchina, wakimaanisha hayo makalio ni feki, kwa sababu ni mtazamo wa watu wengi kuwa vitu feki hutokea China.

Hayo mambo yalikuwa yanafanyika na bado yanafanyika sana latin America. Wana inject liquid silicone na makalio na mahips yanachongeka kama ya Jennifer Lopez. Hata hivi karibuni kuna muingereza mmoja alikufa baada ya operesheni kwenda vibaya. Huyu alitoka uingereza akaenda kufanyiwa marekani nafikiri ni Texas au new mexico...

Wachina wao ni wajasiriamali, wakiona kitu kinatamaniwa,wanajaribu kucopy na kutengeneza haraka sana. Ndio maana waliwajazia yeboyebo baada ya kuona waafrika wengi wanapenda kandambili. Hayo makalio kwao sio dili, lakini wakagundua kuwa on average watu wengi hasa wale wasio wa Far East, wanahusudisha makalio makubwa. Kwa hiyo wanatengeneza na wanatumia hata fake ingredients.

More on this issue:
Google using "Butt implant" or "Buttock implants" or "Buttock enhancement" as key words.
 
Hivi dunia ya sasa hivi kuna watu bado wanalimbuka na hii kitu? ni lazima yawe makubwa? au ndo kila mtu anapenda kivyake? nashukuru sijawahi ambiwa ina makalio madogo au mabaya nafikiri anaridhika nilivyo. lol

very wise!
 
Mbona unaenda mbali? Kwani walijuaje mnapenda DVD feki, santuri moja ina picha 100 unauziwa 2000/- na unaichukua kama zuzu bila kujali quality ya films na sauti. Na walijuaje mnapenda simu za laini mbili hadi tatu kwa bei chee? Wao si ndio walijenga TAZARA enzi hizo? walitumia kipindi kile kuwasoma wabongo na kupima akili zao.
Siku hizi kuna mpaka 'Ugali Feki" mweupeee mnakula nyie wapenda makalio kwenye hoteli feki za bongo, eti ule orijino haupendezi mwisho kansa.
 
Ndugu zangu,

Mara kadhaa imejitokeza mijadala humu jamvini kuhusu dawa za kichina za kuongeza au kupunguza ukubwa wa viungo mbalimbali vya miili yetu. Lakini mjadala mkubwa umekuwa unahusu dawa ya kuongeza makalio na hips ambayo imechangamkiwa sana na wanawake wengi hapa nchini. Hivi sasa, ukitembelea miji mikubwa kama Dar, Mwz, Ars na Mby limekuwa ni jambo la kawaida kuonana na asilimia kubwa ya wanawake wakiwa 'wamefungasha' nyuma tena 'mgizo' ulioshehena haswa huku wakiwa wamevaa suruali.

Ninachojiuliza ni maswali yafuatayo:

(i) Wachina walijuaje kuwa dawa ya kuongeza makalio itakuwa na soko kubwa Tanzania/Afrika? Je, walifanya utafiti kwanza kwa kuuliza wanawake/wanaume?

(ii) Kwa nini wenyewe wachina hawatumii dawa hizo za kuongeza makalio na hips? Je, ni kwa sababu wanaogopa madhara yake au ni kwa sababu makalio makubwa hayana soko kubwa huko kwao?

(iii) Hivi kwani makalio makubwa yana matumizi gani ya maana katika suala zima la mapenzi? Je, kuna uhusiano gani kati ya makalio makubwa na utoshelezi wa tendo la ndoa? Wengine wanasema ni maarufu kwa matumizi ya 'kinyume na maumbile'. Je, kuna ukweli gani kuhusu hili?

Nadhani utakuwa mjadala mzuri kwa wikiendi hii. Karibuni!

Uzuri kwa ULAYA ni wembamba english figure, Uzuri kwa waafrika ni Unene wenye figure na mzigo nyuma, mbona mambo haya hayaitaji hata utafiti
 
Kuna tatizo hapa; hizi dawa hazitumiki afrika peke yake kama ambavyo wengi wetu wanataka kuamini hapa, la! hizi dawa zipo duniani kote na Barani Ulaya walianza kuzitumia siku nyingi sana, Wanawake wa Ulaya wengine unenepesha maziwa yao na wengine utumia dawa ya kufanya maziwa kuwa saa sita milele!


Hapa kinachotutesa siyo dawa ni ujinga tulionao! Ni kama swala la Mitandao linavyotutesa sana Waafrika, hatuwezi kulaumu mitando badala ya kulaumu ujinga wetu, ikumbukwe kuwa mitando imejaakila aina ya taarifa muhimu za kumuendeleza na kumrekebisha binadamu katika kila nyaja ingawa sisi waafrika ugonjwa wetu mkuu ni picha za ngono hadi maofisini.


Kuwepo dawa ni kitu kingine na kuamua kutumia ni kitu kingine, kama utafuatilia kwa undani kwa wale wanaojua waafrica wanazo dawa za asili za kutengeneza shepu ya mtoto wa kike na hata ya kumpa makalio muruha, ni kutokana na dawa kama hizo wenzetu wanaendeleza tafiti na kuziweka katika hali ya sayansi ya kisasa zaidi. kwa kuwaibia siri tu watoto wakike katika baadhi ya makabila ya TZ waliweza kutengenezwa wakawa na umbo-8 au 1 au hata 7 kutokana na mazingira ya eneo na mahitaji yao. Jaribu kuangalia watoto wakike wa kizamani walikuwa wanafanana umbo kulingana na kabila lao, hata ilikuwa rahisi kujua huyu ni kabila fulani kwa kumuangalia tu, kwa sasa tumeacha hizo mila ni kama watoto wakike wote wanafanana sasa hawana shepu yoyote, kila mtu anajitafutia na hawapati mafunzo stahili ndio maana hata soko la vitu kama hivyo linaongezeka.


Celebrity wengi wa Ulaya na America utumia dawa za kubadili shepu, kama alivyofanya operation RIP Jackson kwa ajili ya pua. Ila katika hoja hii nadhani soko la makalio kuongezeka kuwa kubwa barani Africa kuliko Ulaya kwasababu yamkini ulaya wanaume wengi wanapenda na.8, 7 au 1 hivyo dawa nyingi zenye soko ni za kubadili shepu kuwa katika hizo namba na wanawake walioshindwa hilo kwa kweli ukosa soko kabisa na ndio wanachukuliwa na Waafrika wengi ambao kwao bora kuwa na Mzungu, kwa sababu hawana soko katika uhalisia wao.
 
Duh! wachina wajasiliamali bwana, wapo ki biashara zaidi, then kule kwa6 ****** makubwa sio deal c unajua mambo ya kun-fu tena!
 
mwanamke nyonga makalio majaliwa, hao wnaolimbuka nayo watajiju
 
Back
Top Bottom