Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
 
Ishu ni mindset, sehemu yoyote anayoonekana mchina, fahamu kuwa yupo kwa ajili ya kutafuta fursa.

Wabongo wengi wana akili ya kutafuta ajira tu, hata umpe mbongo bilioni moja, cha kwanza atakacho kiwaza ni kununua gari na kuwa na maisha first class.!
 
Watanzania milioni 60 wanatofautiana mindset
Sio kila Mtanzania yupo na mindset mbovu, pia si kila Mchina yuko sharp
 
Hapa hatuzungumzii mmoja mmoja, tunazungumzia results.

Mfumo wa wachina unazalisha wapambanaji wengi, huwezi kulinganisha na mfumo wetu unaozalisha walalamikaji wanaosubiri mpaka apate mtaji wa mamilioni ndio aanze kufanya kazi.

Umeelewa?
 
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
Kwanza hao WACHINA siyo MASIKINI.

Pili, kwao kumejaa na soko limejaa. Kumbuka kuna WACHINA BILIONI 1.4.

Wanakuja na MITAJI na MIZIGO kuuza kwasababu soko ni BICHI.

Vijana wengi TZ, hawana mitaji mikubwa.
 
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
wakati wewe unalalamika wapo wenzako wamejifunza kutoka kwao wametoboa kimaisha kwa mazingira haya haya ambayo kwa akili yetu yalikuwa hayawezekaniki ila wao wamekuja na mbinu, ujanja na technolojia mpya wametoboa wao pamoja na wa karibu wao. wapo baadhi wameleta viwanda vidogovidogo na sasa bidhaa zinapatikana hapa kwa bei raihisi na wengine baada ya kuona utamu wa bongo wamehamia kabisa wao na mitambo waliokuja nayo
 
Wengi hao wachuuzi wanaletwa huku na miradi ya ujenzi halafu kazi zikitamatika au huu ujenzi wa kusuasua wanajichanganya mtaani.

Mfano kule kwenye ujenzi wa SGR wanashindana na waha kutembeza vyombo nyumba kwa nyumba tofauti wao wanatumia vigari vichovu namba B.
 
wakati wewe unalalamika wapo wenzako wamejifunza kutoka kwao wametoboa kimaisha kwa mazingira haya haya ambayo kwa akili yetu yalikuwa hayawezekaniki ila wao wamekuja na mbinu, ujanja na technolojia mpya wametoboa wao pamoja na wa karibu wao. wapo baadhi wameleta viwanda vidogovidogo na sasa bidhaa zinapatikana hapa kwa bei raihisi na wengine baada ya kuona utamu wa bongo wamehamia kabisa wao na mitambo waliokuja nayo
Wakati nani analalamika. Wewe au??
 
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
Fanyeni ya South Africa tuu
 
Back
Top Bottom