Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

As much as sipendi kuchanganya races na kuzalisha mutts. At least kutakuwa hakuna watu kama wewe wanao-generalize kizazi kizima based on evidence gathered from who knows where?

OK tunza imani yako tu na mapenzi yako yanaheshimiwa but human race will never be the same as long as mambo ya mipaka yanakufa tu taratibu, tulianza na wachaga kuzaa na wandegereko, wanyamwezi na wakurya, wapare na wasukuma, wakenya na waganda, wapemba na waarabu, waunguja na wazinza, wazungu na weusi, mkoa na mkoa, nchi na nchi, bara na bara then trend itaendelea tu na miaka ijayo dunia itakua na race moja tu ya machotara! We baki tu hujazuiwa.

Hii dunia iliumbwa kwa ajili ya kutawaliwa na binadamu na wanaenda popote watakapopata maisha na kujichanganya, kama wangoni walivyokuja na kusettle Songea na kwingineko na leo ni watanzania so race zingine zitakuja tu as long as watapersist tu, natural forces zitachukua mkondo wake sio extremism
 
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
Nadhani wale jamaa wapo kila nchi ya dunia. Almost hakuna big city ambayo haina Chinatown. Wana mshikamano mkubwa na wanajituma usipime!
 
Kamari

Yale mamashine
Kuna sehemu fulani nimeyakuta wanayafurahia vibaya sana yameingia kwa fujo mnoooo na kule hawayajui kwa hio wanayafurahia vibaya vibaya yaan aah aisee nilitaka kuwapa elimu ila nikaona hapa nitaharibu biashara za watu, ni wanazoa hela wanajaza 200 za kutosha zinatokomea zote humo hairudi hata 100
 
Traxtion: Race ya mtu mweusi imepata exposure ya elimu ya mtu mweupe miaka imekwenda sasa, tunachoona ni regression tu! Tunabakia Ukoloni, mara Ukoloni mamboleo! Mabeberu! na Weusi walioko Marekani wimbo wao ni Racism!! South Africa ndio mfano mzuri! Miaka almost 30 toka Apartheid iondolewe, hawajui hata tatizo lao ni nini! Naamini kabisa there something wrong na race ya mtu mweusi! Hata akiwa na "akili" bado ana destructive DNA ya aina fulani hivi! Ambayo akili yake inashindwa kabisa kutatua matatizo yanayomzunguka!
Watu weusi wanajua matatizo yao na wanajua jinsi ya kuyatatua. Tatizo ni mifumo yetu hairuhusu watu wanaojua solution kushika madaraka so hawana power ya kuleta effect yoyote kwenye jamii zao
 
Kama mifumo hairuhusu si ndio kutokujua tatizo kwenyewe? Kwani nani kaiweka hiyo? Na kama wanajua solution kwa nini hawarekebishi sasa?
 
Swali rahisi. Wamarekani wengi leo hii wako against utawala wa Trump. Kwa nini hawamtoi madarakani?
Au Iran, kwa nini wameshindwa kubadili mifumo licha ya watu wengi kutoridhika nao?
Au nikuletee mfano wa karibu Tanzania, wewe hujui sababu za kufanya iwe ngumu kuchange regime?

Always kuna watu kwenye power huwa wanabenefit kwenye hizo corrupt systems na wanacontrol kila chombo cha dola ni ngumu kuwatoa madarakani
Kuna wezi, matapeli na wajinga kila race, hii hata haihusiani na ngozi nyeusi
 
OK tunza imani yako tu na mapenzi yako yanaheshimiwa but human race will never be the same as long as mambo ya mipaka yanakufa tu taratibu, tulianza na wachaga kuzaa na wandegereko, wanyamwezi na wakurya, wapare na wasukuma, wakenya na waganda, wapemba na waarabu, waunguja na wazinza, wazungu na weusi, mkoa na mkoa, nchi na nchi, bara na bara then trend itaendelea tu na miaka ijayo dunia itakua na race moja tu ya machotara! We baki tu hujazuiwa.

Hii dunia iliumbwa kwa ajili ya kutawaliwa na binadamu na wanaenda popote watakapopata maisha na kujichanganya, kama wangoni walivyokuja na kusettle Songea na kwingineko na leo ni watanzania so race zingine zitakuja tu as long as watapersist tu, natural forces zitachukua mkondo wake sio extremism
Mifano ya kikabila uliyoitoa haina maana sababu hao watu hawana tofauti yenye nguvu kuliko zote. Nayo ni ya kimuonekano. Ni sawa na Europeans kuzaa na Europeans, Asians na Asians, Arabs na Arabs. Na hao ni Africans na Africans.

Ku-disprove claim yako ya kuzaliana kwa weusi na weupe na kuonesha kwamba totauti ya kimuonekano ni the ultimate deterrent ya crimson dream na fairly tale yako. Angalia North America. Watu weusi wana miaka 400+ ndani USA, mpaka leo wamezaliana wenyewe kwa wenyewe mpaka kufikia million 41. Lakini unajua wangapi ni mchanganyiko wa weusi na weupe? Ni million 3 tu ndani ya miaka 400+. Hivyo sahau hicho kitu kutokea dunia nzima hata ndani ya miaka 3000 ijayo.

Na hata bila ya tofauti kubwa za kimuonenakno. Extremism ndio nature ya binadamu. Ni kama gravity, inachohitaji ni kusukuma tu kidogo. Wanapigana, wanauana, wanabaguana, wanachukiana, na kugeuzana wanyama wa kitumwa. Kuanzia Hitler wa Ujerumani vs Jews, Japan na China, genocide ya Rwanda kati ya Hutu na Tutsi, USA na Japan, mauaji ya wafugaji na wakulima hapa nyumbani, utawala wa Alexander the great, Europeans kuua asilimia kubwa ya Natives wa North na South Americans, Australia na Afrika. Bila ya kusahau waarabu waliouchukua mamilioni ya watu wetu ila leo wasionekanae popote huko kwao.

Pia Afrika tuna bahati sana Europeans walishindwa kuweka makazi ya kudumu sababu Bara letu limetulinda, na uhalisa wa kamba sisi ni binadamu bora zaidi ya wao. Wakoloni waliliita bara letu The White Man's Grave. Malaria, joto, na humidity viliua asilimia mpaka 90 ya fleets zilizojaribu kuingia ndani mwa Afrika. Hivyo walibaki fukweni na ikabidi wawachukue Waafrika na kuwapeleka kwao. Otherwise tungegeuka kama natives wa North America ambao asilimia zaidi ya 90+ waliuliwa na leo wanaelekea kuwa extinct. Au specifically Brazil ambapo serikali iliweka policy ya whitening the country. Yaani kuitakatisha kwa watu weupe dhidi ya weusi na natives. Walilipa mamilioni ya white immigrants kutoka Europe kwenda Brazil ili ku-out-populate waliopo.

Hata hapa juzi. Maelfu ya Wajapan waliandamana kupinga African countries immigration, policy ya serikali yao wenyewe. Hawataki Africans waende kuwa-out-populate na kuwafuta wao na tamaduni zao. Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwepo kwenye list, na wewe uko hapa unapreach racial unity, hahah, ironic isn't?

Kiufupi; ni unajiongopea mkuu. Dunia ni us vs them na survive of the fittest. Chukia anayekuchukia au kuwa mnyonge asiye na nguvu yoyote, not even mutual hate or dislike au kuweka mbele vya kwenu.

Wanawake pekee nitakaochukua ni warembo wa Kiafrika. Ukilinganisha kwamba ndio bara lenye wanawake wazuri kuliko yote. Na nitazaa watoto wenye damu pure ambayo haipo diluted au tainted na rangi mbaya kutoka nje. Hicho ndio kitu kila race inafanya. Racial preservation.

Na damu yako wewe? Itapotea milele!
 
Ahsante kwa essay ndefu ya kupatia A kule high school, anyway nimechukua kimoja tu sisi ni "binadamu bora zaidi" na tumeshindwa hata kudhibiti nzi wa kipindupindu na kuuana kama fisi na swala I rest my case kwa sasa! Kila ntu aamini anachotaka.
 
Essay ndedu? Nah, that's just one my casual rants. Sidhani kama unaweza elewa essays zangu. No offence intended.

Kama nilivyosema hakuna binadamu wasiouana. Na kuhusu hiyo argument yako ya kipindupindu. Unatakiwa kuelewa kwamba binadamu ni adaptive animals. Mimi nikisema sisi ni binadamu bora, namaanisha ni well adapted to our environment. Na hiyo ndio sababu najua hujui unachokiongea.

Cholera sio native ndani ya Grand Afrika au afrika Kuu. (Afrika nzima ukiachana na Kaskazini/North kulikojaa waarabu wasiotaka kujumuishwa na sisi. Pia ni best alternative to the degrading "sub-sahara.")

Kipindupindu kimetokea Ganges Delta india. Kikasambaa Europe sababu ya wakoloni, those crooked teeth Brits kuanzia miaka ya 1800 hadi 1900, lots of outbreaks, kimeua malaki ya watu huko Paris na Hamburg. Wakakimaliza through Sanitation Revolution, miaka 150-200 baadae. Na hichi cha miaka ya 1970-90 huku kwetu kilitoka Indonesia, a version of the same bacteria known as El Tor biotype.

Maana hatukushindwa na wala hatujashindwa kuzuia kipindupindu zaidi ya kuwa ni expected results of an unexpected encounter with foreign microorganism. Europe walichukua miaka 200, 2 centuries nzima mpaka kuweza kupambana na kipindupindu effectively. Unategema sisi tuliokutana nacho miaka ya 1970-90 tuweze kupata cure ndani ya miaka 56? Are you out of your mind? Ni sawa na kutegemea mtoto aweze kuendesha baiskeli iliyomzidi kimo na miguu yake haifikii pedeli.

Ni ngumu sana kudeal na mtu anayejidharau bila ushahidi wala kujiuliza. No wonder unasema kila mtu abaki na anachokiamini. Unaogopa nitabadilisha muono wako juu ya ulimwengu? Tofauti ni kwamba mimi siamini chochote, natafuta ukweli na nasoma uhalisia.

What another cheap argument against yourself? Let me guess, mud houses versus cathedrals?
 
Mmoja ni jirani yangu hapa Mbeya anafuga na kilimo pia!huku vijana wazawa wanashinda wakicheza bonanza kijiweni🤔🤔
 
Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.

Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu

Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha

Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
Wanatumia fursa siku hizi kun hadi matapeli wa kichina wanatapeli wachina wenziwe
 
Back
Top Bottom