Watanzania milioni 60 wanatofautiana mindsetIshu ni mindset, sehemu yoyote anayoonekana mchina, fahamu kuwa yupo kwa ajili ya kutafuta fursa.
Wabongo wengi wana akili ya kutafuta ajira tu, hata umpe mbongo bilioni moja, cha kwanza atakacho kiwaza ni kununua gari na kuwa na maisha first class.!
Hapa hatuzungumzii mmoja mmoja, tunazungumzia results.Watanzania milioni 60 wanatofautiana mindset
Sio kila Mtanzania yupo na mindset mbovu, pia si kila Mchina yuko sharp
Kwanza hao WACHINA siyo MASIKINI.Sio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.
Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu
Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha
Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
I think this is what I saidKwanza hao WACHINA siyo MASIKINI.
Pili, kwao kumejaa na soko limejaa. Kumbuka kuna WACHINA BILIONI 1.4.
Wanakuja na MITAJI na MIZIGO kuuza kwasababu soko ni BICHI.
Vijana wengi TZ, hawana mitaji mikubwa.
wakati wewe unalalamika wapo wenzako wamejifunza kutoka kwao wametoboa kimaisha kwa mazingira haya haya ambayo kwa akili yetu yalikuwa hayawezekaniki ila wao wamekuja na mbinu, ujanja na technolojia mpya wametoboa wao pamoja na wa karibu wao. wapo baadhi wameleta viwanda vidogovidogo na sasa bidhaa zinapatikana hapa kwa bei raihisi na wengine baada ya kuona utamu wa bongo wamehamia kabisa wao na mitambo waliokuja nayoSio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana
Najua watu watasema Wachina wamefuata madini, ila trust me wachina wengi tunaowaona mtaani hata sio watu wa hizo sekta. Wa madini wengi wanaspend muda wao maporini huko
Kuna hawa wanaishi huku yani wanaanza moja kabisa kwenye maisha, nahisi wanakuja huku kufungua biashara halafu wanabaki.
Ina maana kuna biashara nyingi nzuri Tanzania zinafanya vizuri hadi Wachina wanakuja Tanzania kuzifanya na wanafanikiwa, lakini wazawa wanalalamika hata kujiajiri ni ngumu
Wachina wamenifundiaha kitu. Wanatoka kwao wakiwa na mtaji, maana bara lenye watu bilioni 1 tayari ni fursa ya kutosha. Kinachofanya Watanzania wengi kushindwa kufungua successful business kama za kwao ni fact kwamba Watanzania hawana "capital" ya kutosha
Without capital kubwa huwezi kuanzisha biashara nzuri tofauti na wachina waliojichanga nyumbani kwao hela nyingi halafu wakaja Mbeya kufungua restaurants au anything, lazima zitawalipa na wataishi maisha first class kuliko wazawa wengi
Wakati nani analalamika. Wewe au??wakati wewe unalalamika wapo wenzako wamejifunza kutoka kwao wametoboa kimaisha kwa mazingira haya haya ambayo kwa akili yetu yalikuwa hayawezekaniki ila wao wamekuja na mbinu, ujanja na technolojia mpya wametoboa wao pamoja na wa karibu wao. wapo baadhi wameleta viwanda vidogovidogo na sasa bidhaa zinapatikana hapa kwa bei raihisi na wengine baada ya kuona utamu wa bongo wamehamia kabisa wao na mitambo waliokuja nayo
Na walivyo wabaya siwezi mi kuzaa na hao jamaaWajae tu na kuzaliana na wamama wa kibongo huenda tutapata kizazi chotara chenye akili sio hiki cha sasa kinachofikiria ngono tu kutwa kucha
Sayansi inapindishwa tu! Ukweli uko wazi kama nuru na giza! Mwenye macho haambiwi ona!Sayansi inasema hakuna uhusiano kati ya race na akili
Fanyeni ya South Africa tuuSio kwa ubaya, ila najiuliza huwa wanafuata nini huku Africa wakati nchi yao imeendelea sana