Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

Kwanza hao WACHINA siyo MASIKINI.

Pili, kwao kumejaa na soko limejaa. Kumbuka kuna WACHINA BILIONI 1.4.

Wanakuja na MITAJI na MIZIGO kuuza kwasababu soko ni BICHI.

Vijana wengi TZ, hawana mitaji mikubwa.
Tatizo kubwa sio mtaji, Bank zipo nyingi na pesa wanazo, tatizo kubwa ni akili ya biashara hakuna( entrepreneurship)
 
Wachina wamejaa kila kona ya dunia, kwa kuwa umewaona mitaani kwako hapo Uyole usidhani kuna uspesho wowote. Zambia, Zimbabwe na Angola zina Wachina wengi TZ ni kama tone tu. Europe sasa Italy kwa sasa kuna districts yaani ni kama uko China, biashara za maduka(retail businesses) za Portugal very soon watazimiliki zote yaani hakuna nchi waliyoacha.
 
Taratibu sasa, ni mada ya JF tu sio ugomvi
 
Wamevunja sheria? If so, sheria ichukue mkondo wake. If not, hakuna tatizo mbadilishe sheria zenu.
Mi nadhani watu mna stress sana za maisha hii Forum. Hata sikuwa na nia mbaya kuanzisha hii thread na sijasema eti kuna tatizo kwenye uwepo wa Wachina Tanzania. Ila naona mmetanguliza hisia kuliko mada yenyewe inachoongelea
 
Mimi kero yangu ni Yale madubu au bonanza huku tunapita gologolo asee serikali iyapige marufuku asee.....watoto na waalimu yanawapukutisha sana...Kuna mwalimu kwenye frem zake anayo2 Imagine.

Huku kwingine waje tu wabongo hamjui biashara ila mnajua wizi tu Sola panel ya 100k mnauza 250k pumbavu kabisa yaani katika kuomba naomba sana wachina watapakae nchi nzima.

Kwanza ninyi wabongo mkiona mtu wa kuja (mshamba ) mna mwibia zaidi nakoswa tusi la kuwatusi kenge nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…