Wachina wamejaa Tanzania, sasa hivi wameanza kuhamia Mbeya

Nimej
Nimejaza bidhaa za china dukani kwangu
 
Hao ni wazee wa money laundering yao unayoyaona ni kuzuga tu..
Wapo wanaowapiga wenzao hukohuko china wanakimbilia huku kujifanya wawekezaji wengine wapo kwenye cycle kubwa za money laundry asia wamepangia kituo chao aje hapa azuge na business uchwara ili kuahakikisha pesha inakuwa safi..
Dunia inamambo mengi sana.
 

Wachina Wana mtaji, akili, lakini wanajua solo lilipo. Lazima wafanikiwe


Pia wanajua kucheza rafu kibiashara
 
Hakuna ubaya wowote kama hawajavunja sheria yoyote ya nchi.
 
Sayansi inasema hakuna uhusiano kati ya race na akili
Traxtion: Race ya mtu mweusi imepata exposure ya elimu ya mtu mweupe miaka imekwenda sasa, tunachoona ni regression tu! Tunabakia Ukoloni, mara Ukoloni mamboleo! Mabeberu! na Weusi walioko Marekani wimbo wao ni Racism!! South Africa ndio mfano mzuri! Miaka almost 30 toka Apartheid iondolewe, hawajui hata tatizo lao ni nini! Naamini kabisa there something wrong na race ya mtu mweusi! Hata akiwa na "akili" bado ana destructive DNA ya aina fulani hivi! Ambayo akili yake inashindwa kabisa kutatua matatizo yanayomzunguka!
 
Wajae tu na kuzaliana na wamama wa kibongo huenda tutapata kizazi chotara chenye akili sio hiki cha sasa kinachofikiria ngono tu kutwa kucha
As much as sipendi kuchanganya races na kuzalisha mutts. At least kutakuwa hakuna watu kama wewe wanao-generalize kizazi kizima based on evidence gathered from who knows where?
 
Sayansi inapindishwa tu! Ukweli uko wazi kama nuru na giza! Mwenye macho haambiwi ona!
Mwenye macho haambiwi ona isipokuwa tu pale atakapoona maji na kudhani mkojo. At that point hatutomwambia tu aone, bali tutamzaba mbata sababu akili zake haziko sawa na kwamba anajiongopea bila kujua.

Ukweli upi? Kwamba aina za maisha duniani ambazo zimetokana na adaptability nature ya binadamu ni ushahidi ya uwepo au kutokuwepo kwa akili? Badala ya simply kuwa ni utofauti wa masuluhisho tu?

Ulaya wamejenga nyumba za mbao ili kujikinga na baridi na sisi tumejenga za udongo ili kujikinga na joto. Swap those two solutions and you'll have disaster in your hands.

Unaona hiyo picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…