Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
-
- #41
Baba yetu ameoa wake 2 na kila mke ana nyumba yake..kila mtoto amepewa nyumba yake ya kusimamia kwa kila kitu relax mind you businessBora umetoa onyo mapema. Watu kama mtoa mada ndiyo wanakujaga kuvuruga wosia wa marehemu..
Ikitokea mzee wa mleta mada kaoa mke wa kumtunza uzeeni halafu akampa hiyo nyumba unadhani mleta mada atakubali??
Makasiriko yote mnaishi nyumba za kupangaMtoa mada atafutiwe mume Mara moja akakae kwake kufatilia nyumba ya mzazi Ni upuuzi
Mkuu tushamuajiri mfanya usafiNyumba inaingiza million 9 kwa mwaka mnashindwa kutenga laki 9 katika hio hela kwa ajili ya kumlipa mtu wa usafi mwaka mzima? 🤣
Unaweza kuzoa mav ya watu kwa laki 9 kwa mwaka?Nyumba inaingiza million 9 kwa mwaka mnashindwa kutenga laki 9 katika hio hela kwa ajili ya kumlipa mtu wa usafi mwaka mzima?
Haiwezi kurudi! Nyumba kama si ya Biashara ni liability tuNdio maaana mm nasema biashara ya kupangisha iwe ya mwisho maana haiwezi kukutoa wanalipa milioni 9 kwa mwezi, je nyumba imejengwa kwa thamani ya sh ngapi ? Na hiyo milion 9 wanayolipa itachukua miaka mingapi pesa kurudi??m
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.Makasiriko yote ya Nini
Naishi kwangu afu kwenye nyumba sio chumba
Tafuta hela au una stress za pango unamkimbia wenye nyumba
Itakuwa basha wako ni mchina una makasiriko😁👆🖕
Unaliwa na wachina sio bure shogaKuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.
Ungekuwa na nyumba usingeandika hivo
Kadanganye upinde wenzio, nyumba si matako dogo
Aah bana acha masikhara 🤣Bora hao, wahindi je? Wanatema tambuu kwenye bedroom na kunya humo.
Point notedNyumba ya Mzee amepangisha sio 'tuliwapangisha wachina' mbona unajimilikisha wakati Mzee yupo.
Mada nzuri ila tatizo umewasilisha mada huku ukijipa umiliki wa hiyo nyumba.
🤣🤣🤣🤣Si lazima kuwepo na watoto ndo uharibifu utokee, hilo dirisha la Aluminum ambalo wamevunja kioo, walikuwa wafanya mazoezi ya 這個 劉基宏中國
Kwani wanazoa mavi hapo au kufanya gardening?Unaweza kuzoa mav ya watu kwa laki 9 kwa mwaka?
Ni kweli ndiyo maana ya kuwekeza yani bila kufanya kitu cha msingi pesa huisha bila kujua imeishajeTafuta pesa misemo ya pesa kurudi Ni ya masikini wengine tunajitoa unanunua hiace afu una assume Kama ulinunua kiatu inaenda fanya kazi inaleta pesa misemo ya pesa kurudi Ni ya masikini
Lakini wanatuzidi wapi sasaNi kweli kabisa ,nilshafanya nao kazi ,yaani hwajui hata kama kuna kitu kinaitwa kupiga mswaki wakiamka. Wenyewe wakichemsha maji yao ya moto ni kunywa hivohivo yakiwa ya moto eti ndo wanaondoa harufu na bakteria mdomoni