Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
- Thread starter
- #41
Baba yetu ameoa wake 2 na kila mke ana nyumba yake..kila mtoto amepewa nyumba yake ya kusimamia kwa kila kitu relax mind you businessBora umetoa onyo mapema. Watu kama mtoa mada ndiyo wanakujaga kuvuruga wosia wa marehemu..
Ikitokea mzee wa mleta mada kaoa mke wa kumtunza uzeeni halafu akampa hiyo nyumba unadhani mleta mada atakubali??