Wachina wanaongoza kwa uchafu

Wachina wanaongoza kwa uchafu

Bora umetoa onyo mapema. Watu kama mtoa mada ndiyo wanakujaga kuvuruga wosia wa marehemu..

Ikitokea mzee wa mleta mada kaoa mke wa kumtunza uzeeni halafu akampa hiyo nyumba unadhani mleta mada atakubali??
Baba yetu ameoa wake 2 na kila mke ana nyumba yake..kila mtoto amepewa nyumba yake ya kusimamia kwa kila kitu relax mind you business
 
Ndio maaana mm nasema biashara ya kupangisha iwe ya mwisho maana haiwezi kukutoa wanalipa milioni 9 kwa mwezi, je nyumba imejengwa kwa thamani ya sh ngapi ? Na hiyo milion 9 wanayolipa itachukua miaka mingapi pesa kurudi??m
Haiwezi kurudi! Nyumba kama si ya Biashara ni liability tu
 
Makasiriko yote ya Nini
Naishi kwangu afu kwenye nyumba sio chumba
Tafuta hela au una stress za pango unamkimbia wenye nyumba
Itakuwa basha wako ni mchina una makasiriko😁👆🖕
Kuna wachina tuliwapangisha Wana Kama miezi mitano, kwenye pango wako vizuri wanalipa million 9 kwa mwaka.

Ungekuwa na nyumba usingeandika hivo

Kadanganye upinde wenzio, nyumba si matako dogo
 
Ni wachafu asikwambie mtu, yaan kuna sehemu niliingia msalani kwao kidogo nitapike hadi nyongo 🤮
 
Ni kweli kabisa ,nilshafanya nao kazi ,yaani hwajui hata kama kuna kitu kinaitwa kupiga mswaki wakiamka. Wenyewe wakichemsha maji yao ya moto ni kunywa hivohivo yakiwa ya moto eti ndo wanaondoa harufu na bakteria mdomoni
 
Kwani mkataba unasemaje……mana wenye nyumba huwa mnategemea ukimpangisha mtu ndo awe kama mlinzi,mfanya usafi,fundi wakati mtu anamambo yake kibao…na mkataba haujaonesha chochote kama usafi ni juu ya mapngaji Au maintenance ndogo ndogo ni za mpangaji…

Juzi kwenye ghetto nililopanga socket breaker ilizingua nikamwambia mwenye nymba….akasema sio kazi yake,nkamwambia siku nyumba ikiungua usitafute mchaw kesho yake alileta fundi na vifaa akatengeneza.
 
Si mara ya kwanza kusikia watu wakilalamikia wachina kuharibu nyumba
 
Tafuta pesa misemo ya pesa kurudi Ni ya masikini wengine tunajitoa unanunua hiace afu una assume Kama ulinunua kiatu inaenda fanya kazi inaleta pesa misemo ya pesa kurudi Ni ya masikini
Ni kweli ndiyo maana ya kuwekeza yani bila kufanya kitu cha msingi pesa huisha bila kujua imeishaje
Lakini ukiwekeza mfano hiyo milioni 9 unaweza kuwa na chanzo kingine cha mapato ambayo yataweza ata kujenga nyumba kama hiyo ya mwanzo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kabisa ,nilshafanya nao kazi ,yaani hwajui hata kama kuna kitu kinaitwa kupiga mswaki wakiamka. Wenyewe wakichemsha maji yao ya moto ni kunywa hivohivo yakiwa ya moto eti ndo wanaondoa harufu na bakteria mdomoni
Lakini wanatuzidi wapi sasa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mmepangisha wachina maskini wasioweza kuajiri mfanyakazi?ongea nao kuhusu suala la usafi
 
Back
Top Bottom