Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.

Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
 
Imesimama kitambo sana toka wapewe hiyo tenda ile barabara ukitokea ifisi imeishia kukwanguliwa mpaka mbalizi tarafani baada ya hapo wameanzia tena iwambi hata iyunga hawajafika wameruka mpaka simike kwa kweli ujenzi unasuasua mno
....si kusua-sua, bali wanadai chao na ujenzi umesimama.
 
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.

Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
Ngoja nimuitee Kunguni mkuu Mwenyekiti wa Mapambio Lucas Mwashambwa.
Ajee ajibuu lkn ninawasiwasii kama hatakujaa kujibu
 
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.

Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
China ni ndugu zetu wa damu, watajenga tu.
 
Hapo ndipo nashangaaga hii nchi yangu. Vitu ambavyo ni essential kuboresha maisha ya raia serikali huwa haina fedha ila kuhusu kupambania madaraka ya CCM hela huwa zipo masaa 24
 
Tumbo mkuu, shida ni hili tumbo..ukiliruhusu lihamie kichwani unaweza hata kuua. Matumbo ya wana ccm yamehamia kichwani.
 
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.

Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
TANROADS hawana pesa.
Pesa yote imeenda maandalizi ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom