Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

Wachina wanataka chao ili waendelee na ujenzi wa barabara Mbeya

Imesimama kitambo sana toka wapewe hiyo tenda ile barabara ukitokea ifisi imeishia kukwanguliwa mpaka mbalizi tarafani baada ya hapo wameanzia tena iwambi hata iyunga hawajafika wameruka mpaka simike kwa kweli ujenzi unasuasua mno,ila ingekuwa ni kampeni za ccm hela zisingekosekana
 
Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.

Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
Ifisi iko sehemu zipi? Mbeya nilifika mara ya mwisho mwaka 2008
 
Back
Top Bottom