Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Polisi wamiminwe huko kutoka mikoa jirani.Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.
Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
....si kusua-sua, bali wanadai chao na ujenzi umesimama.Imesimama kitambo sana toka wapewe hiyo tenda ile barabara ukitokea ifisi imeishia kukwanguliwa mpaka mbalizi tarafani baada ya hapo wameanzia tena iwambi hata iyunga hawajafika wameruka mpaka simike kwa kweli ujenzi unasuasua mno
Ngoja nimuitee Kunguni mkuu Mwenyekiti wa Mapambio Lucas Mwashambwa.Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.
Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
Si ndio maana ya Kusua sua....si kusua-sua, bali wanadai chao na ujenzi umesimama.
China ni ndugu zetu wa damu, watajenga tu.Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.
Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.
***** sasa polisi wakimiminwa ndo wachina watajenga serikali ilipe pesa za watu waache janja janja.Polisi wamiminwe huko kutoka mikoa jirani.
atajibu nini wakati yeye ni mtu mdogo tu kazi aliyopewa ni kuandaa kumbi na kupokea wageni kwa ajili ya mikutano ya ccmNgoja nimuitee Kunguni mkuu Mwenyekiti wa Mapambio Lucas Mwashambwa.
Ajee ajibuu lkn ninawasiwasii kama hatakujaa kujibu
Uelekeo ni Ruvuma sasa tukaongee na Wangoni kidogo tupige soga na viganoUjenzi umesimama miezi miwili sasa.
Baada ya Ngorongoro sasa wakazi wa Mikumi wajiandae au sio?mikumi tena kwa mama
Tumbo mkuu, shida ni hili tumbo..ukiliruhusu lihamie kichwani unaweza hata kuua. Matumbo ya wana ccm yamehamia kichwani.Hapo ndipo nashangaaga hii nchi yangu. Vitu ambavyo ni essential kuboresha maisha ya raia serikali huwa haina fedha ila kuhusu kupambania madaraka ya CCM hela huwa zipo masaa 24
Naunga mkono hoja, Muliro, Hawadhi na Katabazi waongoze kikosi chaina wajenge barabara watake wasitakePolisi wamiminwe huko kutoka mikoa jirani.
TANROADS hawana pesa.Huku Serikali ikijinasibu kwa mbwembwe na mapambio kwamba haupo mradi uliosisima huko Mbeya Wachina wanaojenga barabara ya njia nne kuanzia Uyole hadi Ifisi huko Mbeya wamegoma kuendelea na ujenzi wakidai malimbikizo ya mamilioni wanayoidai Serikali.
Ujenzi umesimama miezi miwili sasa.