Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Mwandishi wa hii makala anaitwa Clare C, ni mtu aliyesoma China, anaelezea alivyokuwa akibaguliwa na wachina kwa mfano alikuwa akikaa kwenye seat kwenye chombo cha usafiri wachina wananyanyuka, wanadai eti waafrika tuna HIV na Ebola.

Alikuwa akipita njiani wanamchukua video, wanamkodolea macho. Akiripoti hili suala halichukuliwi hatua, sanasana wanamwambia hao ni watu wako curious tu, awapuuze.

Katika masuala ya kazi au vibarua huko China unakutana na matangazo ya waziwazi kuwa TUNATAKA MTU MWEUPE, MTU MWEUSI HATUMTAKI.

Mwandishi anaandika kuwa leo wachina wanalia kuchezewa faulo za ubaguzi duniani kwa sababu ya Corona, Wanaangaliwa kwa jicho baya, wanatengwa na kunyooshewa kidole kwa kuhofia kusambaza Corona lakini anawauliza hao wachina, je mmesahau ubaguzi wenu dhidi ya watu weusi katika nchi yenu?
--------------------------------------------------------

By :Clare C

I know by writing this article how you may take this and how I may be viewed by the general public. But somebody had to say something and I have waited long enough for somebody to say something yet nobody has come forward. So here I am, saying my peace.

Chinese nationals all over the world are crying foul over the way they being treated ever since this virus surfaced, how they get on public transport and people move away from them, how when they are walking in the street people point at them and move away from them and even worse, stare at them with horrified looks.

How some restaurants have even gone to the point of banning them. Chinese students are suffering at the hands of their classmates and teachers. In a nutshell, everyone wants nothing to do with them, because “they are a virus and they are filthy.”

In my opinion, they are finally getting a taste of their own medicine.

I am an African, a black African.
I walk in the streets of China every day and I get pointed at, they move out of my path when I come as if I will bite them.

When I sit on public transport they cover their mouths as if I smell, they change their seats, they take videos of me, and when I voice out how it makes me feel, IT NEVER MAKES THE HEADLINES.

Instead, they say, oh Chinese people are just curious about you, or, it’s in your head, or better yet: “just ignore them.

My classes are all in Chinese. I have been doing my major for over 5 years and in those 5 years, I have sat alone. I have been isolated by my own classmates and teachers included. I ask the Chinese nationals why do they treat us like this?

They tell me, well, it’s because Africans are poor and they have Aids. China has a huge HIV+ population yet my people suffer the blame. Does it ever make headlines? NO

When we complain, the first thing the Chinese people say is, "GO BACK TO YOUR COUNTRY! THIS IS CHINA!" Now, I wonder, should I say the same thing in this situation?

Maybe the Chinese people need to take a look in the mirror before they cry foul, maybe they need to take their own medicine, their own advice, JUST IGNORE IT. Stop making a spectacle out of the very same things you have been doing to my people.

Recently, a local phone company in China did an advert of Chinese wearing blackface and nobody batted an eye.

On national television (spring festival) there was a Chinese lady wearing blackface and dressed in artificial body features to imitate a black person.

Another advert about a laundry detergent featured a black man in the washer made to look unattractive is shoved by a Chinese woman into a washing machine to get "washed," who comes out white and attractive. This was all on NATIONAL TELEVISION!

You even go as far as to call us BLACK GHOSTS.

Many job applications clearly state "Whites" (“Europeans”) only, NO BLACKS!

So how dare you speak of racism.


How dare you try to play the victim when you are at the forefront? You go to my motherland and you abuse our kindness and call us names and make fun of our culture, our sacred way of life, where is our Justice!?

I sound like an angry black person because I am. I have been experiencing racism at the hands of Chinese, and I have made peace with the fact that this is how China is.

How about you do the same thing, accept your fate, “just forget about it”? Or maybe you can learn to treat other races with some respect?

What I am saying is, this virus is affecting everyone, and it is a problem for us all, the same thing with Ebola, my people are segregated, quarantined and faced a lot of racism. You are not the only ones going through this.

This is all our fight now. This virus doesn’t see color, doesn’t know about continents or ethnicity, it’s taking everyone. But leave racism out of this, it has no place in this situation, it does not fit.

STOP IT ALREADY.

You didn’t say a word about racism when it was happening every minute of every hour to Africans across China.
 
Jamii ili iwe imara na endelevu ni lazima kuwe na mixing of different races and nations. Waafrika watupu ni matatizo, maradhi na umaskini kama itakavyokuwa kwa wahindi, wachina, wazungu na hata waarabu.

Kwenye hii game, US ataendelea kuitawala dunia kwa kuwachuja binadamu kiujanja na kuhakikisha US linakuwa taifa lililo na kila aina ya binadamu.

Mixing ya DNA ni tiba ya maradhi aina nyingi sana. Ila kuyokana na kutokuelewa na kuyofuatilia tafiti za kisayansi bado sehemu nyingi za dunia zinajidanganya kuwa wakiwa peke yao ndiyo watakuwa na nguvu.

Pure race inaweza kuwa wiped out ndani ya muda mfupi sana, tofauti na mixed races.
 
Baada ya maradhi haya, utaona harakati kubwa sana za serikali ya China kuwachanganya wachina na dunia. Tatizo litabakia labda kwa wahindi na waafrika wanaojiona wao ni bora kwa kuwabagua/kubaguliwa na races nyingine.
 
uko kuna ubaguzi mkubwa, na unapobaguliwa jamii na taasisi za kiserekali ama binafsi hazijali juu ya ubaguzi huo.
ulaya na marekani kuna ubaguzi ila uwezi linganisha na ubaguzi wa nchi za huo ukanda. ukibaguliwa ulaya, media zitaandika, lakini ukibaguliwa China, India, Malaysia etc hakuna mtu wa kuandika na wanaona wapo sahihi juu dhihaka hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio ya kiuchumi ya wachina yamewapa kiburi cha kujiona baab kubwa.

Siku hizi ubaguzi wa wachina dhidi ya watu weusi umejaa tele kwenye mitandao yao ya kijamii.

Hawa jamaa kwa sababu za ujinga wao huu wa ubaguzi wa rangi ule mradi wao wa one belt one road utafeli tu, kwa sababu watu wa ulimwengu hawatokuwa tayari kuvumilia matendo yao ya kishenzi ya kibaguzi
 
Mafanikio ya kiuchumi ya wachina yamewapa kiburi cha kujiona baab kubwa.

Siku hizi ubaguzi wa wachina dhidi ya watu weusi umejaa tele kwenye mitandao yao ya kijamii.

Hawa jamaa kwa sababu za ujinga wao huu wa ubaguzi wa rangi ule mradi wao wa one belt one road utafeli tu, kwa sababu watu wa ulimwengu hawayokuwa tayari kuvumilia matendo ya kishenzi ya kibaguzi
Wachina wanajua kujifunza. Watabadilika na kuanza kuichanganya jamii yao na dunia.
 
uko kuna ubaguzi mkubwa, na unapobaguliwa jamii na taasisi za kiserekali ama binafsi hazijali juu ya ubaguzi huo.
ulaya na marekani kuna ubaguzi ila uwezi linganisha na ubaguzi wa nchi za huo ukanda. ukibaguliwa ulaya, media zitaandika, lakini ukibaguliwa China, India, Malaysia etc hakuna mtu wa kuandika na wanaona wapo sahihi juu dhihaka hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau Korea kusini. Washenzi wanajionaga wao ndo smart na superior race. Wakati mbuzi tu wamshukuru mmarekani kuwasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uko kuna ubaguzi mkubwa, na unapobaguliwa jamii na taasisi za kiserekali ama binafsi hazijali juu ya ubaguzi huo.
ulaya na marekani kuna ubaguzi ila uwezi linganisha na ubaguzi wa nchi za huo ukanda. ukibaguliwa ulaya, media zitaandika, lakini ukibaguliwa China, India, Malaysia etc hakuna mtu wa kuandika na wanaona wapo sahihi juu dhihaka hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
... halafu mnawaita wale wasiowabagua mabeberu na hawa wabaguzi ndio "rafiki" zetu!
 
Ubaguzi upo wa aina nyingi,hata weusi kwa weusi wanabaguana pia,weupe kwa weupe wanabaguana pia,hata ndani ya familia nyingi pia ubaguzi upo,ndani ya makabila ubaguzi upo,ndani ya maofisi,viwandani na kwingineko ubaguzi upo tu,ubaguzi hauwezi kwisha,upo enzi na enzi.
 
Ubaguzi siyo ugenini tu ,hapa hapa Tanzania tunabaguana usiseme. Wapinzani utawala wa CCM ni sawa na wazalendo wa Afrika kusini enzi za apartheid.
Hapo South Africa ni juzi tu hapa walikua wakiwaua waafrika wenzao,huko central Africa wameuana weusi kwa weusi kwa misingi ya dini,Rwanda wamechinjana kwa misingi ya ukabila,ubaguzi upo kila sehemu,Kutaja madhambi ya mwingine hakukufanyi wewe kua mtakatifu.
 
Ona sasa, sie tunawababaikiaaaaaa, kariakoo wamejazana kama kwao! wapo kila sehemu wanatudharauuuuu ..... tumezidi na sie
 
Hapo South Africa ni juzi tu hapa walikua wakiwaua waafrika wenzao,huko central Africa wameuana weusi kwa weusi kwa misingi ya dini,Rwanda wamechinjana kwa misingi ya ukabila,ubaguzi upo kila sehemu,Kutaja madhambi ya mwingine hakukufanyi wewe kua mtakatifu.

Sisi tunazungumzia ubaguzi wa wachina kwa watu weusi wewe unaleta habari za wahutu na watusi.
Kwani kwa kuwa kuna ubaguzib wa wahutu na watusi ndo shahihi kwa wachina kubagua watu weusi sababu ya rangi ya ngozi yao?

Hebu jitambue wewebusichukulie poa tatizo fulani eti kwa sababu sehemu nyingine lipo tatizo la aina hiyo.

Wewe ni self hating black man
 
Sisi tunazungumzia ubaguzi wa wachina kwa watu weusi wewe unaleta habari za wahutu na watusi.
Kwani kwa kuwa kuna ubaguzibwa wahutu na watusi ndo shahihi kwa wachina kubagua watu weusi sababu ya rangi ya ngozi yao?

Hebu jitambue wewebusichukulie poa tatizo fulani eti kwa sababu sehemu nyingine lipo tatizo la aina hiyo.

Wewe ni self hating black man
Wapi nimekwambia kua nakubali mchina kumbagua black? mimi nalaani ubaguzi wa aina yeyote ile,soma tena nilichokiandika,

Halafu kwa akili yako ilivyo ndogo umeamua kunihukumu kama akili yako ilivyokutuma kwenye huo mstari wa mwisho.
 
Back
Top Bottom