Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

Wachina waonja shubiri ya ubaguzi wao dhidi ya watu weusi

Sie wenyewe tuna ubaguzi majumbani mwetu, nguo nyeupe tunazitenga na nguo nyeusi, nguo nyeupe tunaanza kuzifua kwa maji swafi na kuzianika kwa uangalifu, wakati nguo nyeusi tunazi purua purua na kuanika kawaida tu,
Ikidondoka nguo nyeupe tunashtuka na kuumia roho tunasuuza tena na kuanika, ikidondoka nguo nyeusi tunasonya, tunaikung'uta tunaanika,

Wito wangu; dhambi ya ubaguzi ipo ndani mwetu kuonesha kama tunaikataa basi nguo nyeupe na nyeusi zifuliwe kwa pamoja na kuanikwa pamoja.
Mawazo komavu. Ubaguzi tulisharithishwa.Umekuwa ni ngozi ya mwili.
 
There is no way am shaging a slant eyes!
Who need funny looking kid?
Baada ya maradhi haya, utaona harakati kubwa sana za serikali ya China kuwachanganya wachina na dunia. Tatizo litabakia labda kwa wahindi na waafrika wanaojiona wao ni bora kwa kuwabagua/kubaguliwa na races nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ubaguzi uko kila Mahali, hata sisi weusi kwa weusi tunabaguana sana tuu
Na kuna baadhi ya nchi kama
South Africa yaani hao wamepitiliza nadhani jamaa wabaguzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa unachoambiwa ww unachanganya mafaili tunazungumzia ubaguzi in nature pasipokuwa na migogoro baina yetu na wachina ila unachozungumzia we hiyo ni hamasa ya MTU au kikundi cha watu wenye maslai Fulani ambao wanatumia fursa ya tofauti ya kiutamaduni,asili,rangi au lugha kuanzisha migogoro kwa malengo Fulani ila hapa tunazungumzia fikra duni za wachina walizonazo dhidi yetu sisi watu weusi na jinsi gani hata serikali zao zimeshindwa kuweka mazingira sawa badala yake wanasema kama hamtaki rudi kwenu,this is what we are complaining of
Wewe ni nani mpaka unipangie cha kuchangia? hii ni mada ya ubaguzi na sijatoka nje ya mada, Safari moja huanzisha nyingine,

Hii mada yenyewe kwa jinsi ulivyoiwasilisha pamoja na hii comment yako,hasa huo mstari wa mwisho unaonyesha uhalisia wako kua hata wewe ni mbaguzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inbreeding husababisha mapungufu katika hata uwezo wa kujikinga na maradhi....mataifa yote ambayo wanakosa super gene ambayo ni africa wanapata tabu sana kuweza kuishi katika ulimwengu wenye wadudu wote hawa wa maradhi. Angali tu maeneo yale yenye ubaguzi mkubwa corona imewala mbaya kabisa
 
Back
Top Bottom