Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Ndo maana kwao hakuna mchanganyikoNakumbuka Kuna raia wa Malawi alifumwa akifanya mapenz** na mchina huko China alipigwa hadi akafa[emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo komavu. Ubaguzi tulisharithishwa.Umekuwa ni ngozi ya mwili.Sie wenyewe tuna ubaguzi majumbani mwetu, nguo nyeupe tunazitenga na nguo nyeusi, nguo nyeupe tunaanza kuzifua kwa maji swafi na kuzianika kwa uangalifu, wakati nguo nyeusi tunazi purua purua na kuanika kawaida tu,
Ikidondoka nguo nyeupe tunashtuka na kuumia roho tunasuuza tena na kuanika, ikidondoka nguo nyeusi tunasonya, tunaikung'uta tunaanika,
Wito wangu; dhambi ya ubaguzi ipo ndani mwetu kuonesha kama tunaikataa basi nguo nyeupe na nyeusi zifuliwe kwa pamoja na kuanikwa pamoja.
Baada ya maradhi haya, utaona harakati kubwa sana za serikali ya China kuwachanganya wachina na dunia. Tatizo litabakia labda kwa wahindi na waafrika wanaojiona wao ni bora kwa kuwabagua/kubaguliwa na races nyingine.
Perhaps many but definitely not you!There is no way am shaging a slant eyes!
Who need funny looking kid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni nani mpaka unipangie cha kuchangia? hii ni mada ya ubaguzi na sijatoka nje ya mada, Safari moja huanzisha nyingine,
Hii mada yenyewe kwa jinsi ulivyoiwasilisha pamoja na hii comment yako,hasa huo mstari wa mwisho unaonyesha uhalisia wako kua hata wewe ni mbaguzi tu.