Wachina washikwa wakiiba mchanga wa dhahabu wakiupeleka mbele

Wachina washikwa wakiiba mchanga wa dhahabu wakiupeleka mbele

acha waibe nchi ya majibwa hii

Ndugu yangu kuwa na uhuru wa habari au kutoa maoni , haijarasimishasha wanachama wa jamii forum kutukana watanzania mijibwa.tafdahali kabla hatujakutafuta na kumlazimisha Mod akuchukuli hatua tuombe radhi.watanzania ni watu na mbwa .
 
Rock City:

Ndiyo maana nimeeleza hapo awali, Makampuni haya makubwa ya uchimbaji dhahabu yamekosa ubunifu. Kuondoa misuguano na wachimbaji wadogo maeneo yao Teknologia hii wangewawezesha wao na kuwauzia kwa bei watakayomudu ili badala ya kugombania maeneo ya kuchimba wangekuwa na chanzo mbadala cha kupata kipato.

Kwa maelezo yako biashara hii ni halali kosa la Wachina waliokamatwa ni kukosa kibali cha kusafirisha huo mchanga.

Hata maelezo ya polisi yanasema toka trh 2 mpaka trh 15 wamekuwa wakiyaruhusu yapite ila ya trh 31 wameyakamata sababu hayakuwa na kibali!!

Ni kweli mkuu, I concur!
 
Wachina washikwa tena wakiiba mchanga wa dhahabu wakielekea mbeya.bado magamba hawajamaliza tuzamisha ktk huu wizi

Source :ITV

tanzania kwa sasa ni kama nyumba ya urithi, marehemu kaacha warithi 10 na kili mmoja anaangalia haka kajengo,ila cha kusikitisha kaka yetu mkubwa ameanza kuuza baadhi ya vyumba ndani ya nyumba,

hao wachina ndo kabisaa wamekabidhiwa hii nyumba wafanye chochote wakitakacho.eti kwa sababu mtoto wa kaka yetu alikamatwa huko kwao akatakiwa anyongwe basi kuachwa kwake ndo nyumba yetu imewekewa dhamana kwa wachina,kama vipi tutafute mteja anunue hii nyumba ili kila mtoto wa marehemu apate chake na ajue pa kwenda.
 
hii nchi ni ya maajabu sana ndo maana inaitwa shamba la bibi, inasikitisha sana. waachane waibe manake miviongozi yetu imelala
 
Tanzania ni nchi ya ajabu. Ni nchi ambayo mgeni anatoka kwao na ki-brief case chenye suti mbili na kuja kwetu akijifanya mwekezaji lakini mwisho wa siku anarudi kwao bilionea!
Hebu bandugu batanzania wenzangu fikiria mwekezaji mwenye kikampuni feki kilichosajiliwa ulaya kwenye makampuni ya hisa anakuja TZ anaomba leseni ya utafiti wa madini, anapewa! mind you, hana mtaji wowote. anafanya utafiti hata kwa kutumia kikampuni fulani kwa gharama mkopo. akishagundua madini anatengeneza hisa. anaziuza katika soko la hisa la ulaya. anapata mabilioni ya pesa. then anakilipa kikampuni kilichofanya utafiti. serikalihapo haiambulii tozo yoyote kwa kuwa sheria za kodi tulizonazo ni butu. mind you. huyo mwekezaji tayari amekuwa bilionea kabla hata ya madini hayajachimbwa!!!! hilo ndilo shamba la bibiiii...
 
du bora dc ndio amekamata angekamata m4c pasingetosha humu

upo sahihi sana mkuu! hawa cdm wamekua ndugu lawama hapa bongo, naamini hata wangeona m2 anataka kuchoma hospitali hawata chukua hatua yoyote hadi mchomaji atekeleze ili wapate pakusimamia! kesho utasikia oooh serikali haiwezi kulinda hata hospitali za nchi, huu ni umakini mdogo kabsa wa serkar!
 
yani cdm wapo kwa ajili ya mistake tu hivi leo wakishika hii nchi si ndio kila kitu kitakuwa ndioo mzeee
 
yani cdm wapo kwa ajili ya mistake tu hivi leo wakishika hii nchi si ndio kila kitu kitakuwa ndioo mzeee

mi saivi cna muda nao ndugu lawama hawa, wacha wabaki na hao madereva wao wa bodaboda!
 
mi saivi cna muda nao ndugu lawama hawa, wacha wabaki na hao madereva wao wa bodaboda!
juzi msigwa kaenda kuanzisha fujo iringa kisa wahame eneo la mashine tatu waende eneo lingine haohao kondoo waliosababishiwa maumivu na hasara leo wamekubali kwenda eneo husika ivi tusemaje huu ni upumbavu au ujinga utashindana na serikali kweli mmh haya ngoja tuone itavyokuwa lkn hatutakubali kuburuzwa na majitu haya yanayojali maslai yao binafsi na sifa za kijinga never never never
 
Mboka wachina hamtaki ongelea?mnawaogop amapema hivi?Mbona hata km wachina ni wababe..mnaweza seti raia wenye hasira na waliorushana nao wamewaua huku maporini...uchina watatafuta hadi wachoke,wataenda wafundisha raia wao kuiba kwa akili,kwanini wawarushe locals.
 
upo sahihi sana mkuu! hawa cdm wamekua ndugu lawama hapa bongo, naamini hata wangeona m2 anataka kuchoma hospitali hawata chukua hatua yoyote hadi mchomaji atekeleze ili wapate pakusimamia! kesho utasikia oooh serikali haiwezi kulinda hata hospitali za nchi, huu ni umakini mdogo kabsa wa serkar!

Umenigusa mkuu. Kwakweli chadema wakati mwingine wananiudhi hasa pale ambapo kila tatizo la nchi, wao wanachukulia point ya kupata cheap popularity, hawaoni hata jema moja la serikali! Pamoja na kuwa ni mshabiki wa baadhi ya wanasiasa wa chadema hasa Tundu Lissu lakini Wakati mwengine Chadema nawafananisha na wimbo wa Ndio mzee wa prof Jay. Kimsingi mapenzi yangu kwa chadema yamepungua kwa zaidi ya 60%, kama watampitisha slaa, zito au mbowe kugombea urais, siwapi kuru yangu labda wampitishe tundu lissu maana ndio mtu pekee mwenye hekima ndani ya chadema, mnyika bado mdogo sitamzungumzia kwasasa. Kwaujumla wakiendelea na siasa zao za kueneza chuki dhidi ya serikali iliyo madarakani, Nawatabilia chadema kifo kama cha cuf au nccr mageuzi
 
-Mwalimu huwa anaposahihisha hahitaji kuhesabu tick ili ajue wapi hujui,ila huangalia makosa.
-By the waya opponents si apologists.

-CCM walipaswa kuendelea improve na si kulilia mazuri yaonekane ,km hayaonekani basi worth it.Au ndio kusema CCM wamefika mwisho na kilichobaki wao ni kutaka ujira wa walichofanya.
 
Back
Top Bottom