acha waibe nchi ya majibwa hii
Rock City:
Ndiyo maana nimeeleza hapo awali, Makampuni haya makubwa ya uchimbaji dhahabu yamekosa ubunifu. Kuondoa misuguano na wachimbaji wadogo maeneo yao Teknologia hii wangewawezesha wao na kuwauzia kwa bei watakayomudu ili badala ya kugombania maeneo ya kuchimba wangekuwa na chanzo mbadala cha kupata kipato.
Kwa maelezo yako biashara hii ni halali kosa la Wachina waliokamatwa ni kukosa kibali cha kusafirisha huo mchanga.
Hata maelezo ya polisi yanasema toka trh 2 mpaka trh 15 wamekuwa wakiyaruhusu yapite ila ya trh 31 wameyakamata sababu hayakuwa na kibali!!
Walimsamehe mwana mfalme wetu kunyongwa acha wajilipie fadhila
Wachina washikwa tena wakiiba mchanga wa dhahabu wakielekea mbeya.bado magamba hawajamaliza tuzamisha ktk huu wizi
Source :ITV
kwani hii nchi ina wenyewe? mwenye nchi ali R I P 14/10/1999 yamebaki majambawazi tu
du bora dc ndio amekamata angekamata m4c pasingetosha humu
yani cdm wapo kwa ajili ya mistake tu hivi leo wakishika hii nchi si ndio kila kitu kitakuwa ndioo mzeeeupo sahihi sana mkuu! hawa cdm wamekua ndugu lawama hapa bongo, naamini hata wangeona m2 anataka kuchoma hospitali hawata chukua hatua yoyote hadi mchomaji atekeleze ili wapate pakusimamia! kesho utasikia oooh serikali haiwezi kulinda hata hospitali za nchi, huu ni umakini mdogo kabsa wa serkar!
yani cdm wapo kwa ajili ya mistake tu hivi leo wakishika hii nchi si ndio kila kitu kitakuwa ndioo mzeee
juzi msigwa kaenda kuanzisha fujo iringa kisa wahame eneo la mashine tatu waende eneo lingine haohao kondoo waliosababishiwa maumivu na hasara leo wamekubali kwenda eneo husika ivi tusemaje huu ni upumbavu au ujinga utashindana na serikali kweli mmh haya ngoja tuone itavyokuwa lkn hatutakubali kuburuzwa na majitu haya yanayojali maslai yao binafsi na sifa za kijinga never never nevermi saivi cna muda nao ndugu lawama hawa, wacha wabaki na hao madereva wao wa bodaboda!
Mboka wachina hamtaki ongelea?mnawaogop amapema hivi?Mbona hata km wachina ni wababe..mnaweza seti raia wenye hasira na waliorushana nao wamewaua huku maporini...uchina watatafuta hadi wachoke,wataenda wafundisha raia wao kuiba kwa akili,kwanini wawarushe locals.juzi msigwa kaenda kuanzisha fujo iringa kisa wahame eneo la mashine tatu waende eneo lingine haohao kondoo waliosababishiwa maumivu na hasara leo wamekubali kwenda eneo husika ivi tusemaje huu ni upumbavu au ujinga utashindana na serikali kweli mmh haya ngoja tuone itavyokuwa lkn hatutakubali kuburuzwa na majitu haya yanayojali maslai yao binafsi na sifa za kijinga never never never
upo sahihi sana mkuu! hawa cdm wamekua ndugu lawama hapa bongo, naamini hata wangeona m2 anataka kuchoma hospitali hawata chukua hatua yoyote hadi mchomaji atekeleze ili wapate pakusimamia! kesho utasikia oooh serikali haiwezi kulinda hata hospitali za nchi, huu ni umakini mdogo kabsa wa serkar!
Umenigusa mkuu. Kwakweli chadema wakati mwingine wananiudhi hasa pale ambapo kila tatizo la nchi, wao wanachukulia point ya kupata cheap popularity, hawaoni hata jema moja la serikali! Pamoja na kuwa ni mshabiki wa baadhi ya wanasiasa wa chadema hasa Tundu Lissu lakini Wakati mwengine Chadema nawafananisha na wimbo wa Ndio mzee wa prof Jay. Kimsingi mapenzi yangu kwa chadema yamepungua kwa zaidi ya 60%, kama watampitisha slaa, zito au mbowe kugombea urais, siwapi kuru yangu labda wampitishe tundu lissu maana ndio mtu pekee mwenye hekima ndani ya chadema, mnyika bado mdogo sitamzungumzia kwasasa. Kwaujumla wakiendelea na siasa zao za kueneza chuki dhidi ya serikali iliyo madarakani, Nawatabilia chadema kifo kama cha cuf au nccr mageuzi