Mazingira huamua hatua za kuchukua, haki na usawa yafaa kutendwa na yoyote kwa yoyote mahali popote ulimwenguniHao watu wambeya ni Mazoba wa Mwisho,How come Mchina anakujeruhi kwa Silaha na watu wangine wanaangalia tu?Tena Mchina si bora wangekuwa taifa jengine,Hiyo ingekuwa Vita.
WACHINA WANAPOTEZA USHAWISHI WAO KTK MATAIFA YA BARA LA AFRICA SIKU HD SIKU!walijeruhiwa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za miili yao na raia wa China,
Hao ni wafuasi wa ccm kama wewe,ndio wanafadhili chama cha majambaziHao wachina wakae celo muda mrefu ili wajifunze