Wachina watuombe msamaha Waafrika mara moja

Nadhani nyeusi/jeusi ni HEI... Hilo FEI ZHOU si baya kama HEI REN
 
Wakati mwingine unapokaa chini Na kulia,unampa adui nafasi ya kushinda, hawa watu n maadui zetu wa maendeleo wanajua gap walilotuacha ndo maana wana uhuru wa kusema watakacho,,,
Tuwaache waseme Tu maana hatutoweza kuwazuia kwa maneno, tunapaswa kuchapa kazi Ili siku moja Africa isimame kwa kujitegemea..


On the other hand,, viongoz wetu wanazidi kuombaomba ndo maana tunadharaulika, inabidi tuwapunguzie thaman hawa watu weupe, Leo hii unakuta hata barabara ya km1 inajengwa Na kampuni ya china, hapo utajiuliza inamaana hadi karne hii afrika hatuna wataalam wa kujenga barabara? Na majengo pia ?

Tukipunguza kuwahusudu watatuheshim tu
 
TRUE sayn
 
kwa swala la high way na


kwa swala la highway and building construction wachina wako mbali sana..
kwanini nasisi tusianze kama walivyoanza wao na kufika huko mbali sana!!
 
Bara lenye kipindu pindu karne ya 21..meaning wat?.."kinyesi is on the menu"...bara kiongozi anayejitengenezea namna ya kubaki madarakani kwa kubadilisha katiba "Mbulula hana akili tutampeleka msobe msobe"...bara..sheria za manunuzi zipo..sizonje ananunua panga boi kama kwenda gengen kununua mandaz "Judge mkuu na mwanasheria mkuu mkia kunako"..bara ambalo..toothpic tutoa china..wataachaje kutushangaa?...
Its dark..dirty..sick and sucks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…