NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
numesha chochea.kwa kupuliza nigawie siti katika behewa la kuchocheee!Naomba tuchochee wote tuu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
numesha chochea.kwa kupuliza nigawie siti katika behewa la kuchocheee!Naomba tuchochee wote tuu mkuu
Siti umepata mkuu karibunumesha chochea.kwa kupuliza nigawie siti katija behews la kuchocheee!
ahsanteSiti umepata mkuu karibu
Uchochee me natoka kidogo [emoji124] [emoji124] [emoji124]ahsante
Kiongozi au wewe umeridhika na Noah?Kweli aspirin we ni bingwa wa kuchochea.
basi nikaenda kumuangalia pengine yu njiani analudi, Hamad! nikakuta kundi dogo la watu wakimsema baba kila mtu na kauli zake huku wengine wakijawa na tashwishi pamoja na mihemuko "baba yule ana makengeza ya akili", baba yule si wa kupanga nae jambo. asubuhi atasema hili jioni lile", "eti anatamba vilabuni hakuna alietoa mchango wa harusi yake kwa hiyo watu wasiingilie ndoa yake" , "ni mwingi wa kujiapiza na kupitapita masinagogini huku akilalama aombewe" , "anawapa mimba vijakazi wake" na zingine nyingi... na mie hapo hapo wazo likaniijia - mbona kwetu wageni hata wa mtaa wa jirani hawatutembelei na mbona baba hua hasafiri kwenda hata vijiji vya maghalibi!? na mengine mengi FASIHI ANDISHI
Ile bombadier inaweza ikakusababishia ukalazwe Nairobi...Hapana nataka behewa mbili za TRL na Bombadier moja toka Canada.
Hamia airport noah zimefaulishwa kulipia bombadianiko bandarini tangu mwezi wa sita nasubiri Meli iliobeba Noah zetu,
poa mkuuUchochee me natoka kidogo [emoji124] [emoji124] [emoji124]