Wachochezi karibuni tuchochee

Wachochezi karibuni tuchochee

SUBIRI NIMWAGE KUNI MWENYE KIBERITI AWASHE.

Serekali awamu YA TANO Ni kigegeu kwanzia RAISI mpaka madiwani.

1/05/2017 (RAISI): ntawaongezea icrement
(Malkia kairuki);tukimaliza kuhakiki vyeti feki tutaongeza mishahara.
Mkutano ALAT (RAIS):sitaongeza mishahara mpaka uzalishaji uongezeke
MKUCHIKA:Tukimaliza kuhakiki umri tutaongeza mishahara.
MSEMAJI WA SEREKALI:raisi alieleweka vibaya tutaongeza mishahara.

KIGEUGEU by JAGUAR.


NIMEKUPENDA BURE
 
kama tunamsubiria baba alete mboga inawezekana baba amepotea huko alikoenda kwa nn tusijiongeze
 
basi nikaenda kumuangalia pengine yu njiani analudi, Hamad! nikakuta kundi dogo la watu wakimsema baba kila mtu na kauli zake huku wengine wakijawa na tashwishi pamoja na mihemuko "baba yule ana makengeza ya akili", baba yule si wa kupanga nae jambo. asubuhi atasema hili jioni lile", "eti anatamba vilabuni hakuna alietoa mchango wa harusi yake kwa hiyo watu wasiingilie ndoa yake" , "ni mwingi wa kujiapiza na kupitapita masinagogini huku akilalama aombewe" , "anawapa mimba vijakazi wake" na zingine nyingi... na mie hapo hapo wazo likaniijia - mbona kwetu wageni hata wa mtaa wa jirani hawatutembelei na mbona baba hua hasafiri kwenda hata vijiji vya maghalibi!? na mengine mengi FASIHI ANDISHI
 
9a48d2ed11af1cab362319464495d9f2.jpg
 
Back
Top Bottom