emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Hatuna michango,utapambana na hali yakoChochea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna michango,utapambana na hali yakoChochea
SUBIRI NIMWAGE KUNI MWENYE KIBERITI AWASHE.
Serekali awamu YA TANO Ni kigegeu kwanzia RAISI mpaka madiwani.
1/05/2017 (RAISI): ntawaongezea icrement
(Malkia kairuki);tukimaliza kuhakiki vyeti feki tutaongeza mishahara.
Mkutano ALAT (RAIS):sitaongeza mishahara mpaka uzalishaji uongezeke
MKUCHIKA:Tukimaliza kuhakiki umri tutaongeza mishahara.
MSEMAJI WA SEREKALI:raisi alieleweka vibaya tutaongeza mishahara.
KIGEUGEU by JAGUAR.
niko karibu na vile vichwa vya treni visivyojulikana wilivyokuja vyenyeweUko maeneo gani mkuu? Mi niko hapa gati namba 6 kwa shughuli hiyohiyo. Siondoki mpaka Noah yangu ishuke
Cc Sakayo njoo tuchochee
Aaah basi we chochea vichwa mi nachochea Noah huku berth no 6.niko karibu na vile vichwa vya treni visivyojulikana wilivyokuja vyenyewe
Naomba tuchochee wote tuu mkuuniko karibu na vile vichwa vya treni visivyojulikana wilivyokuja vyenyewe
karibu sana mkuu, nimejaribu kuvuta kichwa kimoja na ulimbo imeshindikanaNaomba tuchochee wote tuu mkuu
ha ha mkuu nimejaribu kuvivuta na ulimbo imeshindikanaAaah basi we chochea vichwa mi nachochea Noah huku berth no 6.
Kama vipi... kwakuwa vina nembo ya TRL... kavisubirie pale stesheniha ha mkuu nimejaribu kuvivuta na ulimbo imeshindikana
eti hajaribiwiKama vipi... kwakuwa vina nembo ya TRL... kavisubirie pale stesheni
Nasikia vinataka kununuliwa[emoji124]karibu sana mkuu, nimejaribu kuvuta kichwa kimoja na ulimbo imeshindikana